Je, Nassari kujiunga CCM?

Kwani wewe hupendi donge nono likikujia acheni unafiki basi ..au hupendi kula ukisikia njaa
Hujanisooma, nimesema kama kuna donge nono, na hana ajra kwa sasa, ana njaa, wacha aende tu! Anaweza kwenda lkn roho na kura ipo CDM!
 
this is ccm bratha...
 
Hapo kama anabembeleza ajira

Ova
Alafu inaonekana wanao msikiliza ndio wenye maamuzi!
Ukienda mbele zaidi ukiwaangalia macho na sura zao kama vile wanaona hana madai ya msingi!
Na pengine walimwambia Acha kuongea ujinga! Tulisha malizana!
 
huyu Nasaruu nae ovyo kabisa kaleta uzi huu humu JF kupima upepo! zama zake zilishapita!! akafie mbele!!
 
Igogo alivuliwa uanachama wa CDM Iringa akarudi CCM kwasasa anatia nia ubunge kwa tiketi ya CCM Rorya ...anatia huruma anavyosimangwa na wanaCCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…