Je! Nani mwenye dhambi?

Je! Nani mwenye dhambi?

Ino

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
25
Reaction score
7
Siku moja ya ibada kanisani askofu alipitisha mchango kwa ajiri ya ujenzi wa kanisa waumini walichanga sh 35,000 tu, ghafla wakaingia majambazi wakaliteka kanisa na kuamuru kilammoja atoe kilichomo mfukoni mwake,wakakusanya sh 8,2000,000. Baadae majambazi wale wakamwita askofu na kumkabidhi mahela yale bila kuchukuwa hata cent moja wakamwambia endeleza ujenzi wa kanisa, Je! nani mwenye dhambi kati ya majambazi na waumini waliozibania hela?
 
Hakuna mwenye dhambi..........kutoa ni moyo, hapo sadaka imeongezeka tu!!!!!!!!huwezi jua walibakisha kwa ajili ya nini besides sadaka kawaida ni 10% tu thus unatakiwa ubaki na 90%
 
safi sana mbinu hii ikifanyika pale azania front au st joseph watakusanya mijihela ya kumwaga.
 
Back
Top Bottom