LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,511
Basi waoane wajue mojaWanatizamana Kama wapenzi,udugu ushazikwa
Basi waoane wajue mojaWanatizamana Kama wapenzi,udugu ushazikwa
Acha chenga wewe...dini gani si useme bayana?,Kuna dini inaruhusu mtoto wa baba mkubwa na mdogo au mtoto mama mkubwa na mdogo kuoana,ipo Waulize wakristo au waislam utapata majibu kwao,pia Waulize Wahehe wa Iringa watakwambia
Uliza dini nyingineAcha chenga wewe...dini gani si useme bayana?,
Mi mkristo hakuna hio kitu
Ni wanaume kwa wanaume au mwanaume kwa mwanamke?hakubakwaToba lailai! Damu moja nyie aisee eeh duuh wanaume mmetushinda tabia
Hukuwahi kuyasikia kabla?Mengi tutazid kuyaona na kuyasikia.
Jitahidi sana nawe usije ukawa mfuasi wake kwa namna yoyoteWOTE HAO NI WAFUAC WA SHAYTWAN & HE IS LEADING THEM INTO THE HELFIRE