Je nani alikosea dada/ Kaka au wote?

Je nani alikosea dada/ Kaka au wote?

Kwa hiyo dada anatakaje? Anataka umuoe? Hehehe patamu hapo
 
Nasemaga hivi,nyumbani kwangu watu mje msalimie tu Mambo ya ndugu kuweka kambi SITAKI

Salimieni sepeni.

Ujinga wa hivi huanzaga taratibu kama mtoto anae anza kutembea.

Mwanamke/mwanaume akisha pevuka macho yanatamani chochote mbele yake..Sasa haya mambo ya kulea ndugu nyumba moja na mke/mume wako yatawa cost sana.

SEMA nini mkuu...umemla aseee daaah una roho ngumu sana.
 
Sio Mimi mkuu na hawaishi nyumba moja ila ni majirani,kila mtu ana kwake
 
Ufala huo why hukutushirikisha kula kitumbua umekula ndo unatushirikisha Acha hizo basi mjomba mjomba...
 
Hii ndio ile mbuzi kala majani, kala na kamba aliyofungwa nayo...
 
Misemo ya wahenga inazidi kupotezwa kwa Kasi.
 
Back
Top Bottom