lovelyaunt
New Member
- Aug 23, 2019
- 3
- 6
Acha uzinzi
Sio mimi,Lakini tuseme tu kwamba wote wawili wana makosa sio mmoja aliyeshawishi na aliyeshawishikaDaah hivi unaanzaje kumfikilia Dada yako, Kama huo moto upo itabidi nyie muwe wa 1 au wa 3.
Kama unachosema ni kweli basi
[emoji48]
MTAKUWA MMEFANYA KOSA KUBWA SANA[emoji34][emoji2959].
Oops nilitaka kusahau itabidi wote mlaaniwe[emoji56]
Sio wote wawili?(dada na Kaka)Kwa kwel apo baharia Umeenda offside
Nimeuliza ,Je kwa wale ambao dini zao zinaruhusu nao wamelaaniwa na wamelaaniwa na Nani?Aisee. Laana zingine ni zakujitakia tu
Usenge ninini?Kuna watu wasenge humu duniani kama huyu mleta uzi
Ndugu huyo unaweza kumuoa?.kama jibu ni hapana kwa nini mnaziniWatakiwa samehe tumbo moja tu wengine kula uwezavyo na utakavyo
Ishu si kuishi na ndugu wanafamilia tunaishi pamojaNasemaga hivi,nyumbani kwangu watu mje msalimie tu Mambo ya ndugu kuweka kambi SITAKI
Salimieni sepeni.
Ujinga wa hivi huanzaga taratibu kama mtoto anae anza kutembea.
Mwanamke/mwanaume akisha pevuka macho yanatamani chochote mbele yake..Sasa haya mambo ya kulea ndugu nyumba moja na mke/mume wako yatawa cost sana.
SEMA nini mkuu...umemla aseee daaah una roho ngumu sana.
Dini gani inaruhusu?.Nimeuliza ,Je kwa wale ambao dini zao zinaruhusu nao wamelaaniwa na wamelaaniwa na Nani?
Kuna dini inaruhusu mtoto wa baba mkubwa na mdogo au mtoto mama mkubwa na mdogo kuoana,ipo Waulize wakristo au waislam utapata majibu kwao,pia Waulize Wahehe wa Iringa watakwambiaDini gani inaruhusu?.
Shetani ana nguvu sana,watu wanauana wanatoa mimba nk,yaani kuelewa kwamba kutoa uhai wa binadamu mwenzako au kuuwa kiumbe kilichoko tumboni ni dhambi kubwa sana,na kwenye hili la dada na Kaka mpaka watoaji mimba na wauaji wanashangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ishu si kuishi na ndugu wanafamilia tunaishi pamoja
Ishu ni binadamu kutokujielewa kwamba huyu ni dada/kaka
Wanatizamana Kama wapenzi,udugu ushazikwaLaana nje njee
Mnatizamanaje shughuli za familia?..
Full Stop.duh,
samari ya stori yako 'nimemgegeda dada yangu'
Kimila kunautaratibu wake lakini pia kidini kunautaratibu wake. Laana inaisha kabisaUnawashauri nini ili waondoke kwenye laana?