hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,347
- 80,220
Hahaha
Ungewaza hivi kabla saivi usingesumbuka hivi
Ungewaza hivi kabla saivi usingesumbuka hivi
Mmelaaniwa wewe na dada yako.
Ipi hiyo mkuu?Misemo ya wahenga inazidi kupotezwa kwa Kasi.
Ilikuwaje mkuu tupe uhondoNani amewalaani? Wenzao kule Marekani wameshinda shauri lililokuwa linawakabiri. Nadhani na hawa inabidi waiweke kisheria kabisa
Laana mbaya hata uombewe vipi haitoki mpaka aibu iliyokusudiwa itimie.Unagundua dada yako (kwa mama/baba mdogo/mkubwa) anataka umpige nao,unajikausha tu kwa muda mrefu sana ili kulinda heshima yenu na ya wazazi wenu,Siku ya siku mkeo naye anagundua hicho kitu,anakuuliza mume wake,mbona wewe na dada yako hamheshimiani ,unamuuliza kivipi? Anakwambia maneno anayoongea mbele yako hayastahili kuongea ukiwepo,yanaisha ,Mkeo haishii hapo baada ya miezi kadhaa kupita unasikia kaenda kulalamika kwa mtu wake wa karibu.
Kwa lugha rahisi ni kwamba mkeo anakuwa anahisi una mahusiano na huyo dada yako,unaanza kutafakari je kweli dada anataka achapwe nao au amehisiwa vibaya,unaamua kujaribu ili ujue ukweli ,bahati nzuri au mbaya anakubali ila kwa mbinde sana na siku hiyohiyo unamchapa nao mahusiano yanaanza kwa kasi ya ajabu,penzi linakolea haswaaa hutaki kusikia yuko na mwingine Wala nini, mwisho wa siku unagundua kuna mwanaume mwingine anammega unaamua kumwambia muachane ili aendelee huyohuyo mwanaume,baada ya kumwambia hivyo anaanza kulalamika"MIMI SIKUTAKA MAHUSIANO NA WEWE KWASABABU NILIJUA IKO SIKU YATATOKEA HAYA, HUWEZI UKATEMBEA NA MIMI HALAFU UNIACHE,SIKU YA KWANZA NILIKATAA SANA LAKINI HUKUNISIKILIZA,MIMI SINA MAHUSIANO NA HUYO MWANAUME ILA WEWE KWAMUWA UMENICHOKA UMEAMUA KUNITAFUTIA SABABAU" katika mazingira kama haya je ni kweli yeye hakutaka mahusiano au alitaka ila alikuwa hawezi kusema?Je ulaumiwe wewe kwa kumtaka dada yako au nayeye alaumiwe kwa kutegeneza mazingira yaliyojenga ushawishi wa kumtongoza?
Sio mimi lakini,haya swali nani Mwenye laana?Laana mbaya hata uombewe vipi haitoki mpaka aibu iliyokusudiwa itimie.
Wewe unatembea na dada yako wakati umeisha oa mke yuko ndani. Hata kama ikiwa bado ujaoa wanawake wote huwaoni hata unatembea na dada yako kweli?
Hapo wala usiulize nani mwenye kosa bali swali sahihi ni kutafuta kati yenu nani mwenye laana?
Na je dini inayozoruhusu ndugu wa namna hiyo kuoana inaizungumziaje?imelaaniwa?Laana mbaya hata uombewe vipi haitoki mpaka aibu iliyokusudiwa itimie.
Wewe unatembea na dada yako wakati umeisha oa mke yuko ndani. Hata kama ikiwa bado ujaoa wanawake wote huwaoni hata unatembea na dada yako kweli?
Hapo wala usiulize nani mwenye kosa bali swali sahihi ni kutafuta kati yenu nani mwenye laana?
Jibu hapa siyo rahisi. Kwa uelewa wangu laana haionekani kwa macho na inaweza ikawa kwa kizazi au vizazi siyo kwa mtu mmoja.Sio mimi lakini,haya swali nani Mwenye laana?
Dini ya hivyo ndiyo laana yenyewe sasa. Ujue ukiona dini inaruhusu ndugu waoane hiyo siyo dini ya kweli ni kundi au dini ya kishirikina.Na je dini inayozoruhusu ndugu wa namna hiyo kuoana inaizungumziaje?imelaaniwa?
Hujawahi kuishi kwa ndugu wewe?Nasemaga hivi,nyumbani kwangu watu mje msalimie tu Mambo ya ndugu kuweka kambi SITAKI
Salimieni sepeni.
Ujinga wa hivi huanzaga taratibu kama mtoto anae anza kutembea.
Mwanamke/mwanaume akisha pevuka macho yanatamani chochote mbele yake..Sasa haya mambo ya kulea ndugu nyumba moja na mke/mume wako yatawa cost sana.
SEMA nini mkuu...umemla aseee daaah una roho ngumu sana.
Kiongozi Usiogope Funguka TuHapana mkuu hii habari inamhusu mtu mwingine
Niogope nini hapa hatufahamiani mkuu,ningekuwa mimi ningesema tuKiongozi Usiogope Funguka Tu
Muhimu sana kukumbushanaHujawahi kuishi kwa ndugu wewe?
Umeshawai jiuliza ukiwa haupo duniani watoto wako watalelewa na nani?
Nako ilikuwa hivyohivyo?Sodoma mweee
Wenye dini kujeni hapa mjibuDini ya hivyo ndiyo laana yenyewe sasa. Ujue ukiona dini inaruhusu ndugu waoane hiyo siyo dini ya kweli ni kundi au dini ya kishirikina.
Nani amewalaani? Wenzao kule Marekani wameshinda shauri lililokuwa linawakabiri. Nadhani na hawa inabidi waiweke kisheria kabisa