Hehehe kuna kidada kilijifanya kizungu saaaana! Nikaenda nako ruaha natinal park na wazungu wengine! Hehehe! Uzungu uliishia pale pale!
Watu tumekodi bangalows za 50 a nite yeye anataka foxes hotel ya laki 2! Kuona wazungu wanataka bangalows akavumilia! Kuja kwenye kuzunguka sasa hehehe! Ah me enjoyed that trip!
Mimi hapo hunikalishi hata na hela juu! Life of a nigga is full of canivores sina haja ya kujiexpose zaidi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.