Ok, ngoja kwanza niwashirikishe TCRA alafu tutakuchukulia hatua kali tukishakupataWe haribu tu..
Anapaona jf ni padogo kama chumba anacholalaHajui kwamba wakimfuatilia hapa kuwa wanweza kumjua kiulaini na umtumbua..!
Teh teh!

Tena limekaa patam pa kulitumbuaJibu ni NDIO..
wewe ni JIPU period.
Hata lilikaa makalioni lazima litumbuliwe tu bila hata ganziTena limekaa patam pa kulitumbua
Ngoja tumfanyie kazi huyu..Anapaona jf ni padogo kama chumba anacholala![]()
Nitaacha kazi maji yakifika shingoni....
Ngoja tumfanyie kazi huyu..
Alaf akiwa sero tutampa dk 10 za kuleta mrejesho hapa
sero na smart phone!!!?
Ndio lazima tumpe smartphone angalau kwa dk 10 ili alete mrejesho hapa.![]()
![]()
sero na smart phone!!!?
![]()
Habari wana Jf...
Mimi niliajiliwa miaka saba iliyopita.....kwa kweli hili swala LA vyeti linanikondesha na linapelekea kupoteza furaha yangu kila nikumbukapo yale maneno aloyatamka Mkuu Wa polisi kanda maalumu ya Dar es saalaam....
Najiuliza je na Mimi ni jipu....Mimi mwaka 2009 niliajiliwa na post yangu ya kwanza ilikuwa Bunda. Ni kweli chet nilichotumia kuingilia hakikuwa cha kwangu lakini baada ya kuingia tu kazini nikasoma Qt hiyo 2010 na 2011 nikafaulu baadae 2013 nilifanya mtihani Wa kidato cha sita na pia nilifaulu vizuri ..baada ya hapo nilijiunga na chuo kikuu huria 2013 nategemea kugraduate mwaka huu yaani 2016...lakini kazini bado sijavisajili hivi vyeti vingine.....vya QT naombeni ushauri wenu juu ya hili......
Ndio lazima tumpe smartphone angalau kwa dk 10 ili alete mrejesho hapa.
Ili wengine wajifunze kupitia yeye
