Je Mwisho ataondoka na US do'z 200,000/= Bigbrother Africa leo?

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Leo ikiwa ni siku ya 91 na ya siku ya mwisho kwa washiriki wa BBA All stars 2010,
Je mshiriki kutoka tz Mwisho ataibuka na kiti a cha dola 200,000/= leo wakati akipata ushindani mkali kutoka kwa washiriki wenzake ndani ya top 5 kama
Uti (Nigeria)
Munya(zimbabwe)
Lerato( SA)
Sheila (kenya)
Wakati huohuo kuja na shem wetu mpya toka Namibia Marly?
Kama vip mungu ambariki na God amblec aweze shinda.
 
Yote yanawezekana cha muhimu kura zetu zinahitajika kwa wingi
 
Leo ikiwa ni siku ya 91 na ya siku ya mwisho kwa washiriki wa BBA All stars 2010,
Je mshiriki kutoka tz Mwisho ataibuka na kiti a cha dola 200,000/= leo wakati akipata ushindani mkali kutoka kwa washiriki wenzake ndani ya top 5 kama
Uti (Nigeria)
Munya(zimbabwe)
Lerato( SA)
Sheila (kenya)
Wakati huohuo kuja na shem wetu mpya toka Namibia Marly?
Kama vip mungu ambariki na God amblec aweze shinda.
Hata akipata Us 200,000/= Mwisho utakuwa ndio Mwisho wake aheri asipate maana huko Sinza bar and wahudumus watamkoma,na atajiharibia buure afya yake,huo ndio ushauri wangu wa bwerereee
 
Leo ikiwa ni siku ya 91 na ya siku ya mwisho kwa washiriki wa BBA All stars 2010,
Je mshiriki kutoka tz Mwisho ataibuka na kiti a cha dola 200,000/= leo wakati akipata ushindani mkali kutoka kwa washiriki wenzake ndani ya top 5 kama
Uti (Nigeria)
Munya(zimbabwe)
Lerato( SA)
Sheila (kenya)
Wakati huohuo kuja na shem wetu mpya toka Namibia Marly?
Kama vip mungu ambariki na God amblec aweze shinda.

itategemea:

Kama atmpa kura Dr. Slaa, basi amebarikiwa na atalamba huo mpunga

Kama atampa JK, basi ajue atafulia tu
 
ok mkuu nafungua thread nyingine tumpigie kura mwisho
achana na mambo ya politiki ya tanzania CCC watashinda hata kwa kuiba KULA.

aahhhhh that is my babu........twen zetu tukampigie mwisho kura
 
muwezeshe mwisho ashinde nenda ka-vote kule BBA

The voting period is currently closed.
Please check back again during valid voting periods.
 
Back
Top Bottom