Je,mwimbaji "rusha roho" YUPI WA KIKE unayemfagilia kwa kazi yake? Wangu huyu hapa...

Unaniudhi sasa GC, mi namzungumzia Malkia, wewe unaemea kina nani tena? Au nikupe mistari kidogo...

Mkuu Mphamvu ,namkubali Malkia ingawaje mi namuona kama heavyweight.. Kwa hawa wa kisasa je.. Wa kwenye miaka mitano-sita ya hivi.. Huna?
Gee Cee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mphamvu ,namkubali Malkia ingawaje mi namuona kama heavyweight.. Kwa hawa wa kisasa je.. Wa kwenye miaka mitano-sita ya hivi.. Huna?
Gee Cee
Inawezekana hatujaelewana, wewe unamaanisha Malkia wa Mipasho, si ndio? Mimi namaanisha Malkia mke wa Mfalme a.k.a Leila Rasheed, thats my favourite, akifuatiwa kwa karibu na Mariam Amore, yule wa Jahazi aliyeimba Hamchoki Kusema
Nawashangaa...
Hamchoki kusemaa...
Basi mtalalama, hadi kiama...
Penzi letu, limeshasimama,
Nyie mtalalama, hadi kiama.
Hapa kwetu raha kwenda mbele,
Nyie endeleeni kupiga kelele...
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana hatujaelewana, wewe unamaanisha Malkia wa Mipasho, si ndio? Mimi namaanisha Malkia mke wa Mfalme a.k.a Leila Rasheed, thats my favourite, akifuatiwa kwa karibu na Mariam Amore, yule wa Jahazi aliyeimba Hamchoki Kusema

Nimekupata mkuu..
 
JK ana wimbo unaitwa ajali ya kisiasa. kundi linaitwa family modern taarab.
 
mi sijui....ila ukiniuliza ipi ya taarb naipenda ntakujibu...maneno ya mkosaji, hakuna mkamilifu, la uchungu
 
mi sijui....ila ukiniuliza ipi ya taarb naipenda ntakujibu...maneno ya mkosaji, hakuna mkamilifu, la uchungu

Asante,ila nadhani watakuja wengine wanisaidie kwani pamoja na clue ulizotoa,sijafahamu nyimbo zenyewe..
 
Isha Mashauzi yuko kwenye kipindi cha Salama Jabiri cha "Mkasi"... Time hii...
 
Back
Top Bottom