Je,mwimbaji "rusha roho" YUPI WA KIKE unayemfagilia kwa kazi yake? Wangu huyu hapa...

Mie ananikosha Malkia, Leila Rashid... Can't take my ear outta sauti ya huyu mmama.

Yeah..

Kiukweli kila mmoja ni mweledi kwa upande wake.. Sauti,uimbaji wake,kulimudu jukwaa,kuimudu kamera,etc.
 
Last edited by a moderator:
Kweli taarab ikipigwa naweza ahirisha niendako na kukaa kusikiliza/kuwaangalia watu wanavyoyarudi.......,

Napenda yule mwimbaji wa jahazi aloimba domokaya, na pia Isha mashauzi......

Kukaa kimya ninaamua coz sioni haja mimi na nyie kugombana... ....natafuta maisha yangu, wala siwezi kutafutana na mtu., waja tushi kwa amani, tugawane ustaarabu, kujuana isiwe tabu!!!
 
Madame B we mkaree...

Je,ile sijui ya nani..

Kwako alale mbili
na kwangu alale mbiili..
Ukizidisha siku mooja
cha moto utakioonaa

nadhani Mwanahawa Ally.. Huyu bibi ni kiboko ya njia kwa Mipasho..

huyo ni Mwanahawa Ally. Mimi wanaonikosha zaidi ni Zuhura Shaaban na Sabah Salum Muchacho.
 
Last edited by a moderator:
Hebu tutajie majina yao halisi na kundi/vikundi wanavyoimbia??
Ni kikundi kipya kinaitwa "mtajiju classic" albam yake inayofatia itatemwa mei mosi. Uskose, baazi ya nyimbo kwenye albam hilo ni,

Mtakufa nacho, itaimbwa na Preta
Ananing'arisha bila sabuni, itaimbwa na Husninyo
 
Yeah..

Kiukweli kila mmoja ni mweledi kwa upande wake.. Sauti,uimbaji wake,kulimudu jukwaa,kuimudu kamera,etc.

Unaniudhi sasa GC, mi namzungumzia Malkia, wewe unaemea kina nani tena? Au nikupe mistari kidogo...
 
Kweli taarab ikipigwa naweza ahirisha niendako na kukaa kusikiliza/kuwaangalia watu wanavyoyarudi.......,

Napenda yule mwimbaji wa jahazi aloimba domokaya, na pia Isha mashauzi......

Kukaa kimya ninaamua coz sioni haja mimi na nyie kugombana... ....natafuta maisha yangu, wala siwezi kutafutana na mtu., waja tushi kwa amani, tugawane ustaarabu, kujuana isiwe tabu!!!

Yeah.. Bidada kweli we ni mfuatiliaji.. Vipi kwenye mashughuli zikipigwa,unainukaga kucheza,au hakunaga..
 
Back
Top Bottom