Je, mwezi umeandama?

Je, mwezi umeandama?

Leo kulala saa hata saa 7 usiku mpaka viholoso na mapochopocho ya asubuhi yakamilike ryt??
bila kukosea yan mkeka wako umeshinda asubuhi viholoso kama vyote inshallah mchana kitu cha biriani
 
dear ile supermarket sukari ya kumwaga bei ni 2700 leo tunimejichukulia za matumizi kawahi zisijeisha tena mana ziliadimika
Sawa madam..karibu eid Kange kesho inshaallah!
 
Back
Top Bottom