Je, mwezi umeandama?

Je, mwezi umeandama?

Kama kichwa cha habari mi niko sehemu ambayo siwezi ona anga vizuri naomba kujua kama kesho ni idd ili nisiharibu ratiba zangu za kutafuta riziki
Niko nachek channel 10,, mufti kathibitisha kesho Eiddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddd


[emoji23][emoji23][emoji23] swaum ya leo ilikuwa kali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiumie kichwa mkuu mwezi una siku 29 au 30 kutegemea na mwandamo wa mwezi.

Ni sawa tu april na june siku 30, may na july 31
February ni 28 au 29 na wengine birthday ni baada ya miaka mitatu. 😊😊😊😊😊😊
 
tanga banaa karibuuu ndio naandaa andaa hapa
Issue za corona zimefanya tu-cancel safari ya kuja huko kujumuika na ndugu na family wote kuepuka msongamano.

Nitumie basi japo keki, mikate ya kumimina, jicho la ngamia, visheti nk
 
February ni 28 au 29 na wengine birthday ni baada ya miaka mitatu. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Just imagine sikukuu ya eid ingekuwa jumatatu na jumanne eid ya 2,

kazini (offisini) kungekuwa na long weekend kuanzia jumamosi mpaka jumanne.

Nipo na staff wenzangu office wananiambia hivi mkuu hatuwezi kufanya mambo skukuu ikaangukia jumatatu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Issue za corona zimefanya tu-cancel safari ya kuja huko kujumuika na ndugu na family wote kuepuka msongamano.

Nitumie basi japo keki, mikate ya kumimina, jicho la ngamia, visheti nk
mkate wa kumimina tumeula sana ramadhan sitaupika ntakutumia keki na hivo vingine corona imepungua mkujeee
 
Back
Top Bottom