Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
- Thread starter
- #41
Hatimae
I bet kesho unapika biriani mchanamkate wa kumimina tumeula sana ramadhan sitaupika ntakutumia keki na hivo vingine corona imepungua mkujeee


Heeee kumbe Sunni wamesali leo?Huku kwetu sidhani maana kulikuwa na mawingu sana leo, ila nina imani kesho Eid sababu Sunni wameswali leo (niliwasikia asbh)
Bila kukosea yan mkeka wako umeshinda asubuhi viholoso kama vyote inshallah mchana kitu cha biriani.I bet kesho unapika biriani mchana![]()
Mkuu shukraniAssalama Alaikum
Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.
Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
To be confirmed...
Allahu akbar!!Takbiiiiir
Allahu Akbar.Takbiiiiir


Yeah
Mwezi PLEAZE, onekana kesho usiku!Kama kichwa cha habari mi niko sehemu ambayo siwezi ona anga vizuri naomba kujua kama kesho ni idd ili nisiharibu ratiba zangu za kutafuta riziki