Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,444
- 100,740
Zitazidi, ukumbuke hio ni siku 21 tangu apumzike.mnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.
Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA..
Zitazidi, ukumbuke hio ni siku 21 tangu apumzike.......
Hebu tulia kwanza, tulia kwanza, usijibu tu kwakua unataka kujibu na kutetea uovu.zilizopo tu zimeshapoza uhalali wa kumlaumu meko.
maana amelala ndipo watu wanafanya yao.
Alikuwa anajua sana ndio maana akafunga media zote akaacha zinazosifia madudu yakeNimejiuliza tu kwa wema na sio kwa ubaya...
Naweza kukubalialikua anajua na hao ni vijana wake walikua wanafata maelekezo yake.
Nasikia huu ni mwanzo tuAlikuwa anajua sana ndio maana akafunga media zote akaacha zinazosifia madudu yake
Hawezi kuzitaja wala kuzisema huyuZile Trillion 1.5
Asikupotezee muda huyo pro meko.Hebu tulia kwanza, tulia kwanza, usijibu tu kwakua unataka kujibu na kutetea uovu.
Tuiponye TanzaniaBado Makonda nahisi nae akifanyiwa uchunguzi kuna madudu mengi ndani yake.
Zile Trillion 1.5
Natabiri "Pro Raisi wa Wanyonge" kubadili ID humu ndaniAsikupotezee muda huyo pro meko.
Atakata pumzi saa hivi
Ndio taratibu za fedha zinavyotaka?kwamba 1.5 ni pesa ambayo haikuidhinishwa na bunge.
Hebu tulia kwanza, tulia kwanza, usijibu tu kwakua unataka kujibu na kutetea uovu.
Umesahau 2.4 trilion iliyopotea bila majibumnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.
Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA.......
jamaa yetu wa bandari kashikwa na 3.4bln,baada tu ya mzee kufariki,na wale jamaa walitaka kuhepa na 180bln baada ya mzee kufariki.
meko ataendelea kibaki na sifa kwamba hakuwa kiongozi wa kulea ujinga ujinga,hata iweje.
mpaka sasa swala linalomake sense ni la ATL peke yake,ambalo napo aliambiwa mapema tu.
Ndio taratibu za fedha zinavyotaka?
Mbona mimi nakuelewa?landa kama nawewe unataka kila mtu ajibu unavyotaka!au sio???