Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 99
- Thread starter
- #41
haa haaaa Ashangedere nimeipenda hiyo unafaa kufunda, ushauri wako waweza kubadilisha mtu labda.Kwa haraka haraka huyo jamaa anapenda sifa, so mshauri rafiki yako atumie hiyo weakness yake, amsifie saaaana: kwa mfano Mmh yani wewe mpenzi wangu me nakuaminia ile mbaya najua safari hii lazima ununue kiwanja jinsi unavyopenda maendeleo yani kwa hilo sina wasiwasi, hopo ni instead ya kumwambia nunua kiwanja. Kuhusu hayo masifa yake amwambie kuna mtu kaniambia eti wewe ulikuwa unaongea .... kuhusu mimi au kuhusu maisha yetu, nimemtimua nimemwambia mimi mpenzi wangu hana hizi tabia za kujionyesha unyesha mbele za watu mambo yetu tunayajua wenye... nakwambia akiwa anamsifia badala ya kumpa fact anaweza kushangaa jinsi atakavyobadilika pia tatizo jingine la huyo jamaa ni insecurity, hajiamini