Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Matumizi ya neno kimada hapa yasitafsiriwe kuwa nimekosa heshima kwa wanawake. Wengi mnafahamu kuwa kuna mwanamke unayeweza kuwa naye kwa gharama zozote, kwa mda wowote lakini hautamani awe mkeo. Na ikitokea siku akaanza kuforce ndoa, basi unatafuta namna ya kuvunja mahusiano.
Kuna mwanamke unayeweza kuwa naye kwenye mahusiano hata siku mbili, ukatamani kuwa na familia nae kama mke na mume.
Hivi kuna tofauti gani bayana kati ya mwanamke anayevutia sana kimapenzi lakini havutii kuwa mwanandoa, na mwanamke anayevutia sana kuwa mwanandoa (regardless anavutia au havutii kimapenzi)?
NOTE: Sura, umbile, elimu, kabila, umri, vyote haviwezi kuwa sababu... kwa maoni yangu