Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?

Kuna movie moja Pat amecheza na Rita Dominic, akiwa kama playboy, ni nzuri sana Ritha alimshikisa adabu mpaka alijikuta anapigishwa deki na bado hakupata kitu.

Kisa Ritha ameombwa na ex wa Pat amfundishe Pat adabu kwa kuwa alim dump; afu msichana mpya wa Path akawa analeta nyodo kwa rafiki wa Ritha. Pat alikuwa hamjuhi Ritha hivyo Ritha akajilengesha ili amtokee; alivyomtokea alihakikisha msichana mpya anatemwa (si unajua anavyolipa) afu na bado akawa anamzungusha tuu hakupata kitu.

haa haaa
unasemaje kuhusu PAT ?
nafikiri ni better kuliko hata Nonso...
 
Kuna movie moja Pat amecheza na Rita Dominic, akiwa kama playboy, ni nzuri sana Ritha alimshikisa adabu mpaka alijikuta anapigishwa deki na bado hakupata kitu.

Kisa Ritha ameombwa na ex wa Pat amfundishe Pat adabu kwa kuwa alim dump; afu msichana mpya wa Path akawa analeta nyodo kwa rafiki wa Ritha. Pat alikuwa hamjuhi Ritha hivyo Ritha akajilengesha ili amtokee; alivyomtokea alihakikisha msichana mpya anatemwa (si unajua anavyolipa) afu na bado akawa anamzungusha tuu hakupata kitu.

unitafutie title aisee
by the way Ritha na Vin vicker na mdada mwingine wa ghana i guess wana movie inaitwa Fantasia sijui umeiona?
 
Inaitwa Immaterial, unaweza kuiangalia Iroko Tv (online). Ngoja nitafute hiyo Fantasia; tatizo la movie unazosema wewe hazipatikani online sijuhi mwenzetu unazinyaka wapi?

naona za wa Ghana online tabu kupata
nitaitafuta hiyo Immaterial..
 
Kumbe ni ya Ghana; waghana walisha ni bore. Movie zao ni quality saana nazani wanatumia camera za maana; tatizo wana actors wachache mmno kila movie hao hao; lol. Nshawachoka. Afu kuna kijana anaitwa Prince kama sikosei ndo wana muaminiiiiaa. Wakati hamna kitu. Kina Van Vicke na John naona wamepanda bei wana act na directrs wa Nollywood zaidi.

aaa ndo nimewapata sasa,kumbe mnamuongelea Pat Attah. Hiyo ya Ritha kumchezea Pat pia nimeiona,si mwisho pat alimkuta ritha na yule rafiki yake,afu wakamwangalia na dharau flani ivi?
 
Ndiyo yenyewe aswaaa.

Yani mi nikichoka kufanya mambo ya maana naingia kwenye movie; tena movie za wadhungu wala sizi mind kwani naona kwangu haziko real, wako tofauti saana na sie kwa kila kitu.

aaa ndo nimewapata sasa,kumbe mnamuongelea Pat Attah. Hiyo ya Ritha kumchezea Pat pia nimeiona,si mwisho pat alimkuta ritha na yule rafiki yake,afu wakamwangalia na dharau flani ivi?
 
mkuu ni ukweli kuna wanawake wa kulanao bata tu lakini sio kuwa wife wa kutunza na kulea family
 
Back
Top Bottom