Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

Hilo tayari ni tatizo na ni addiction, nini unatakiwa kufanya juu yake...ni ushauri mzuri tuu,
1. Kwanza mwambie ajenge chuki na mazingira, watu, pamoja na vitu vinavyomfanya au kumsukuma kufanya hcho kitendo.
2. Awe na kitu cha kuamini
3. Akubaliane na tatizo....akishakubali kuwa yeye ana tatizo ....na kukiri kwamba yes this is a problem....then all is to accept.....na kuona kwamba hii issue ni ndogo sana kwangu na haiwez tena niendesha...is somthng in the mind....just control of her mind psychologically......Atapona.
...Na wewe hutakiwi umkimbie ikibidi just b wth her on da bed n practice an alternative of her choice....wakat huo ukimueleza maneno mazur.....na kumpa negativities za choice yake ya awali....inawezekana sana kuacha hyo tabia..lkn kama na wewe utakuwa committed...usiingie kwa kujaribu....amin kwamba ur going to heal her. Best wshes ila usisolve problem ukaja ukatengeneza prob nyingine....kama nia ni njema kwako...go on.
 
Ukiwa kijana na bado hujui mapenzi ni shida sana.. Nani kakwambia huo ni mchezo..? sunna hiyo ww..
 
Habari za jioni hii?

Natumai mko poa na mnaendelea na majukumu yenu katika maisha. Nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kupata kigugumizi cha nafsi, akili na moyo. Ni hivi leo jioni hii nimemtongoza msichana mmoja ambaye tumekuwa tukifamiana kwa kipindi kama miezi mitatu sasa ambaye kwa umri ana miaka 21. Msichana huyu anaishi mazingira tata na yana shida zake, binti huyu ni mwenyeji wa Tanga.

Huyu binti baada ya kumweleza yangu akakubali hasa ukizingatia alikuwa anaonyesha dalili zote kitambo tu kabla ya mimi kutupa hii ndoano rasmi leo. SASA KIZUNGUZUNGU CHA NAFSI, AKILI NA MOYO KIMEKUJA BAADA YA HUYU BINTI KUNIAMBIA KATIKA MAPENZI YEYE ANAPENDA SANA KULIWA TIGO KULIKO KUFANYA KAWAIDA JAPO KAWAIDA ANAFANYA ILA UTAMU WAKE UPO KWENYE TIGO.

Nimejaribu kumpeleleza kwa maswali na yeye amekuwa mkweli na muwazi japo mwanzo alikuwa anasita kuniambia akidai kuna watu wengine hawapendi kuambiwa ukweli na mchezo huo kauanza tangu akiwa kwao Tanga na umemwathiri kisaikolojia na kihisia hasa za mapenzi. Anadai yupo tayari kuwa na mahusiano na mimi ila mtihani wake ndio huo na mimi kiukweli navutiwa nae sana na kutokea kumpenda kabla ya kujua hili jambo.

Mimi binafsi sijawahi kufanya hicho kitu katika maisha yangu na wala sifikirii kukifanya kabisa katika maisha yangu.

Sasa najiuliza mwanamke aliyezoea kufanya mtindo huu anaweza kuacha? Natamani sana kumsaidia ili atoke katika janga hili ila nimeanza kukata tamaa. Ushauri unaohitajika hapa ni wa kumsaidia huyu binti kumtoa katika jehanamu hii kama inawezekana na kama kuna njia na taratibu za kumsaidia.

Sihitaji matusi wala kashfa za aina yoyote.
Kuna post yako humu umetokwa povu mpenzio hana love mood.
Prof. Ndalichako tangaza necta results hawa watoto wanaobalehe wapungue humu
 
Anyway, ukisikia mtu kakubuhu, ndio hao. Aibu kama hiyo leo mtu anakosa haya anakwambia waziwazi, lengo nn? umtafune!!! Hebu katika hiki kipindi cha uchumba nendeni nyumba za ibada, siku moja kabla ya kwenda unamtafuta shekh au mchungaji unamwambia mada ya kesho iwe ishu za sodoma na gomora. Hatokuangusha. Itasaidia.
 
Ni bora kutojaribu kutaka kufanya kitu ambacho ukifahamu.

Kama hujawahi kufanya huo mchezo, kama ikatokea mkawa/mkaishi pamoja, usithubutu kujaribu hata akulazimishe kiasi gani
 
Mungu atusaidia sana
Tatizo ni fashion,na siku hizi madem wanaenda na wakati,wanasema ukitaka kumdhibiti mwanaume mpaka asahau wazazi wake basi mpe ile kitu roho napenda au vipi Lin?
 
Hilo tayari ni tatizo na ni addiction, nini unatakiwa kufanya juu yake...ni ushauri mzuri tuu,
1. Kwanza mwambie ajenge chuki na mazingira, watu, pamoja na vitu vinavyomfanya au kumsukuma kufanya hcho kitendo.
2. Awe na kitu cha kuamini
3. Akubaliane na tatizo....akishakubali kuwa yeye ana tatizo ....na kukiri kwamba yes this is a problem....then all is to accept.....na kuona kwamba hii issue ni ndogo sana kwangu na haiwez tena niendesha...is somthng in the mind....just control of her mind psychologically......Atapona.
...Na wewe hutakiwi umkimbie ikibidi just b wth her on da bed n practice an alternative of her choice....wakat huo ukimueleza maneno mazur.....na kumpa negativities za choice yake ya awali....inawezekana sana kuacha hyo tabia..lkn kama na wewe utakuwa committed...usiingie kwa kujaribu....amin kwamba ur going to heal her. Best wshes ila usisolve problem ukaja ukatengeneza prob nyingine....kama nia ni njema kwako...go on.
Tatizo ni ufukara na tamaa za mabinti,huyo jamaa anaweza kumkubali huyo dem akaishi nae na akajaribu kumtia mbele tu wakati wote na kujaribu kumpa nasaha kwamba kuliwa nyuma ina madhara na pia ni laana,sawa wanaweza kuishi taratibu na mambo yakasonga,ila ikitokea jamaa akafulia au ikatokea tafrani ya kutoelewana katika mapenzi yao,basi mwanamke atatumia ****** wake kumkomoa jamaa bila kujua anajikomoa yeye mwenyewe,yaani atafirwa mpaka ****** utasalimu amri,hiyo ndio laana ya wafirwaji walivyo,nakushauri Ramzy,achana na mbwa hiyo.(you cant train an old dog).
 
Ukiwa kijana na bado hujui mapenzi ni shida sana.. Nani kakwambia huo ni mchezo..? sunna hiyo ww..
Mkuu,jaribu kutumia lugha ya heshima tafadhali,ukisema sunna unakashifu imani za watu,so rekebisha kauli yako mkuu,hilo neno sunna ni zito sana kwa imani ya wenzetu Waisilamu,nakuomba jiepushe kulihusisha neno sunna na utani au kitu chochote kibaya,ni ushuri tu nakupa.
 
Kuna post yako humu umetokwa povu mpenzio hana love mood.
Prof. Ndalichako tangaza necta results hawa watoto wanaobalehe wapungue humu
Entim,mambo?,vipi habari za Rwamagana? nilifikiri ulirudi Buyenze? halafu mpwa wako wa Kayinga akanipatia zile faranga ulizininyima,ile nafika Kayanza siku ile asubuhi nikazipewa faranga ingawa zilikuwa nusu,basi hata hivyo amajambere ubarikiwe mwana.
 
Anyway, ukisikia mtu kakubuhu, ndio hao. Aibu kama hiyo leo mtu anakosa haya anakwambia waziwazi, lengo nn? umtafune!!! Hebu katika hiki kipindi cha uchumba nendeni nyumba za ibada, siku moja kabla ya kwenda unamtafuta shekh au mchungaji unamwambia mada ya kesho iwe ishu za sodoma na gomora. Hatokuangusha. Itasaidia.
Wewe ndugu yangu ubarikiwe kwa mawaidha mazuri uliotoa,hakika ALLAH atakuzidishia kila la kheri.
 
Ni bora kutojaribu kutaka kufanya kitu ambacho ukifahamu.

Kama hujawahi kufanya huo mchezo, kama ikatokea mkawa/mkaishi pamoja, usithubutu kujaribu hata akulazimishe kiasi gani
epuka kusikia kuliko kouna,kuona kuliko kugusa, kugusa kuliko kuharibu, kuharibu kuliko kuua, kuua kuliko kuangamiza: ni falsafa ya kichina ila ina mantiki, itafakari !!!!
 
Back
Top Bottom