Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

Ngumu kuacha hiyo, ila jaribu uongee nae mueleze madhara yake mbele ya safari thn mpeleke hospitali kama atakubari
 
wazibua ''vyemba'' hilo ni zali kwao......lakin upele umempata asiye na kucha
 
Aaaah kijana nakuona unavyofikifikilia Kuchura cha Mtoto wa Tanga na ule weupe wake ndio unachanganyikiwa ukikumbuka kuwa mwenzako fundi zaid mpaka kapitiliza,

Acha kujipa stress kwenye mapenzi mkuu tafuta mnaendana Maana huyo ameandaliwa kwa ajili ya wale Midume Wenye Tabia za men Dr

Kumbuka
Ndege wanaofanana huruka pamoja mwanangu
 
Habari za jioni hii?

Natumai mko poa na Mnaendelea na majukumu yenu katika maisha. Nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kupata kigugumizi cha nafsi, akili na moyo. Ni hivi leo jioni hii nimemtongoza msichana mmoja ambaye tumekuwa tukifamiana kwa kipindi kama miezi mitatu sasa ambaye kwa umri ana miaka 21. Msichana huyu anaishi mazingira tata na yana shida zake , binti huyu ni mwenyeji wa tanga.

Huyu binti baada ya kumweleza yangu akakubali hasa ukizingatia alikuwa anaonyesha dalili zote kitambo tu kabla ya mimi kutupa hii ndoano rasmi leo. SASA KIZUNGUZUNGU CHA NAFSI, AKILI NA MOYO KIMEKUJA BAADA YA HUYU BINTI KUNIAMBIA KATIKA MAPENZI YEYE ANAPENDA SANA KULIWA TIGO KULIKO KUFANYA KAWAIDA JAPO KAWAIDA ANAFANYA ILA UTAMU WAKE UPO KWENYE TIGO.

Nimejaribu kumpeleleza kwa maswali na yeye amekuwa mkweli na muwazi japo mwanzo alikuwa anasita kuniambia akidai kuna watu wengine hawapendi kuambiwa ukweli na mchezo huo kauanza tangu akiwa kwao tanga na umemwathiri kisaikolojia na kihisia hasa za mapenzi. Anadai yupo tayari kuwa na mahusiano na mimi ila mtihani wake ndio huo na mimi kiukweli navutiwa nae sana na kutokea kumpenda kabla ya kujua hili jambo

Mimi binafsi sijawahi kufanya hicho kitu katika maisha yangu na wala sifikirii kukifanya kabisa katika maisha yangu.

Sasa najiuliza Mwanamke aliyezoea kufanya mtindo huu anaweza kuacha???? Natamani sana kumsaidia ili atoke katika janga hili ila nimeanza kukata tamaa.
Ushauri unaohitajika hapa ni wa kumsaidia huyu binti kumtoa katika jehanamu hii kama inawezekan na kama kuna njia na taratibu za kumsaidia.

Sihitaji matusi wala kashfa za aina yoyote
am sorry dude
but is real possible
 
wazibua ''vyemba'' hilo ni zali kwao......lakin upele umempata asiye na kucha
elimu ya dini pia inamata kama unajielewa na unatambua uwepo wa mungu na adhabu zake kwa kila dhambi uchumayo hapa duniani, sijui kwa wakristo ila kwa waislamu ni shambi kubwa sana na mimi nimelelwa na kukuzwa katika mazingira ya dini
 
Aaaah kijana nakuona unavyofikifikilia Kuchura cha Mtoto wa Tanga na ule weupe wake ndio unachanganyikiwa ukikumbuka kuwa mwenzako fundi zaid mpaka kapitiliza,

Acha kujipa stress kwenye mapenzi mkuu tafuta mnaendana Maana huyo ameandaliwa kwa ajili ya wale Midume Wenye Tabia za men Dr

Kumbuka
Ndege wanaofanana huruka pamoja mwanangu
the way unavyoongea kama unamjua maana umetaja kiwa swasifu wake mpaka rangi yake
 
the way unavyoongea kama unamjua maana umetaja kiwa swasifu wake mpaka rangi yake
Hahahah Mie tena na watoto wa Tanga tena hapo usithubutu kumgegeda Maana hautoweza kumuacha tena na mwisho wake ni wewe kupata stress na utakuja kulia lia humu jf
 
Muoe tu, halafu jirani watasaidia kwa hiyo Tgo. Hilo tundu moja litakutosha kabisa, atachepuka na hautajua
 
Back
Top Bottom