rama halavi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 269
- 236
Habari za jioni hii?
Natumai mko poa na mnaendelea na majukumu yenu katika maisha. Nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kupata kigugumizi cha nafsi, akili na moyo. Ni hivi leo jioni hii nimemtongoza msichana mmoja ambaye tumekuwa tukifamiana kwa kipindi kama miezi mitatu sasa ambaye kwa umri ana miaka 21. Msichana huyu anaishi mazingira tata na yana shida zake, binti huyu ni mwenyeji wa Tanga.
Huyu binti baada ya kumweleza yangu akakubali hasa ukizingatia alikuwa anaonyesha dalili zote kitambo tu kabla ya mimi kutupa hii ndoano rasmi leo. SASA KIZUNGUZUNGU CHA NAFSI, AKILI NA MOYO KIMEKUJA BAADA YA HUYU BINTI KUNIAMBIA KATIKA MAPENZI YEYE ANAPENDA SANA KULIWA TIGO KULIKO KUFANYA KAWAIDA JAPO KAWAIDA ANAFANYA ILA UTAMU WAKE UPO KWENYE TIGO.
Nimejaribu kumpeleleza kwa maswali na yeye amekuwa mkweli na muwazi japo mwanzo alikuwa anasita kuniambia akidai kuna watu wengine hawapendi kuambiwa ukweli na mchezo huo kauanza tangu akiwa kwao Tanga na umemwathiri kisaikolojia na kihisia hasa za mapenzi. Anadai yupo tayari kuwa na mahusiano na mimi ila mtihani wake ndio huo na mimi kiukweli navutiwa nae sana na kutokea kumpenda kabla ya kujua hili jambo.
Mimi binafsi sijawahi kufanya hicho kitu katika maisha yangu na wala sifikirii kukifanya kabisa katika maisha yangu.
Sasa najiuliza mwanamke aliyezoea kufanya mtindo huu anaweza kuacha? Natamani sana kumsaidia ili atoke katika janga hili ila nimeanza kukata tamaa. Ushauri unaohitajika hapa ni wa kumsaidia huyu binti kumtoa katika jehanamu hii kama inawezekana na kama kuna njia na taratibu za kumsaidia.
Sihitaji matusi wala kashfa za aina yoyote.