YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Watumishi wa Mungu wa leo wako vizuri wanamsikiliza Mungu zaidi aliyewaita kuliko watu nyie wasikiliza watu bakini na watu wenu.SABABU MUMEITWA NA WATU SIO MUNGU.Watumishi wa leo hamtaki kujua watu wanasema ninyi ni akina nani.