Je, Mwamposa yule "mtume" muasisi wa kukanyaga mafuta ya upako ni dhehebu gani? Je ni Calvary Assemblies of God ya Prophet Maboya?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Nimemsikia Prophet Maboya akizungumzia msiba mkubwa wa watu kufia kwenye HUDUMA kwa kukanyagana. Najiuliza je Mwamposa yuko kwenye dhehebu la CAG LA Maboya?

Anayejua atufahamishe.
 
Kwa hiyo askofu wa Mwamposa ni Maboya? Mbona Mwamposa ndo amegeuka kuwa popular (kujulikana zaidi) kuliko Maboya? Ina maana Mwamposa aliikuta hii HUDUMA ya kukanyaga mafuta tayari IPO CAG? Ina maana Maboya ndiyo mwanzilishi was HUDUMA ya kukanyaga mafuta na Mwamposa kafanya kuiendeleza tu? Aliye na uhakika atujuze.
 
Nimemsikia Prophet Maboya akizungumzia msiba mkubwa wa watu kufia kwenye HUDUMA kwa kukanyagana. Najiuliza je Mwamposa yuko kwenye dhehebu la CAG LA Maboya?

Anayejua atufahamishe.
Ndio ni mwanawe MTUME MABOYA kwa kiroho .Alikuwa muumini wake tu wa kawaida pale Arusha kanisani kwake akamfundisha ,kumlea hadi akaenda fungua kanisa la Calvary Assemblies Of God pale Moshi ambako vifo vimetokea, baadaye akafungua huduma ingine Dar es salaam ambayo iko pale Kawe nayo iko Chini ya CAG la Maboya. Na ASKOFU NA MTUME MABOYA ndie ASKOFU WAKE MKUU

Mtume Mwamposya huwa anahudumia makanisa mawili kwa Mpigo huwa yuko Dar es salaam na Moshi .Huweza kuhudumu kote kwa kutumia ndege za abiria.Akimaliza huku anapanda ndege anaenda kwingine kuhudumia.

Hizi ndege mara ingine zinamchelewesha huduma yake.Tunamwomba Mungu AMPE ndege yake binafsi ambayo atakuwa nauwezo wa kuondoka muda wowote atakao na kwenda kuhudumu popote sababu anahitajika mikoa yote Tanzania lakini sababu hana ndege yake binafsi mfano ya kuendesha ibada ya asubuhi labda Mwanza na ibada ingine Dar kwa siku inakuwa vigumu

Tuko kwenye maombi Mungu ampe ndege ya aina ya Gulfstream ina mbio za kutosha kwa private jets.Tushirikiane kumwombea apate

BULLDOZER MWAMPOSYA HUYOOOO

1581180723691.png
 
Ndio ni mwanawe kwanza wa kiroho .Alikuwa muumini wake tu wa kawaida pale Arusha kanisani kwake akamfundisha ,kumlea hadi akaenda fungua kanisa la Calvary assemblies Of God pale Moshi ambako vifo vilitokea baadaye akafungua huduma ingine Dar es salaam ambayo iko pale Kawe nayo iko Chini ya CAG la Maboya. Na ASKOFU NA MTUME MABOYA ndie ASKOFU WAKE MKUU

Mtume Mwamposya huwa anahudumia makanisa mawili kwa Mpigo huwa yuko Dar es salaam na MOshi .Huweza kuhudumu kote kwa kutumia ndege za abiria.Akimaliza huku anapanda ndege anaenda kwingine kuhudumia.

Hizi ndege mara ingine zinamchelewesha huduma yake.Tunamwomba Mungu AMPE ndege yake binafsi ambayo atakuwa nauwezo wa kuondoka muda wowote atakao na kwenda kuhudumu popote sababu anahitajika mikoa yote Tanzania lakini sababu hana ndege yake binafsi mfano ya kuendesha ibada ya asubuhi labda Mwanza na ibada ingine Dar kwa siku inakuwa vigumu

Tuko kwenye maombi Mungu ampe ndege ya aina ya gulfstream ina mbio za kutosha kwa private jets.Tushirikiane kumwombea apate
hizo ndege anazihitaji sana kutorokea kila akisababisha maafa.
 
Ndio ni mwanawe MTUME MABOYA kwa kiroho .Alikuwa muumini wake tu wa kawaida pale Arusha kanisani kwake akamfundisha ,kumlea hadi akaenda fungua kanisa la Calvary Assemblies Of God pale Moshi ambako vifo vimetokea, baadaye akafungua huduma ingine Dar es salaam ambayo iko pale Kawe nayo iko Chini ya CAG la Maboya. Na ASKOFU NA MTUME MABOYA ndie ASKOFU WAKE MKUU

Mtume Mwamposya huwa anahudumia makanisa mawili kwa Mpigo huwa yuko Dar es salaam na MOshi .Huweza kuhudumu kote kwa kutumia ndege za abiria.Akimaliza huku anapanda ndege anaenda kwingine kuhudumia.

Hizi ndege mara ingine zinamchelewesha huduma yake.Tunamwomba Mungu AMPE ndege yake binafsi ambayo atakuwa nauwezo wa kuondoka muda wowote atakao na kwenda kuhudumu popote sababu anahitajika mikoa yote Tanzania lakini sababu hana ndege yake binafsi mfano ya kuendesha ibada ya asubuhi labda Mwanza na ibada ingine Dar kwa siku inakuwa vigumu

Tuko kwenye maombi Mungu ampe ndege ya aina ya gulfstream ina mbio za kutosha kwa private jets.Tushirikiane kumwombea apate

BULLDOZER MWAMPSYA HUYOOOO

View attachment 1350819
Wewe si mmeambiwa mkae kimya kwenye mitandao kumbe na wewe ni wa kule?Naomba uzingatie kuna thread kuna manbo nilkujibu naomba ukayasome upya yamkini Mungu akakusaidia.
Imani ni kitu chenye nguvu natamani niandike vitu hapa yamkini ukafumbuka lakini shida kama umepofushwa ufahamu unaweza usinielewe.
Kwa nini mtu mmoja ahudumie makanisa mawili?Je katika wafuasi wake hakuna aliowafundisha wanaoweza kushika hiyo huduma?Ndege atapata ila siyo kutoka kwa Mungu itatoka kwenye pesa zenu ,nyie toeni pesa kwa wingi atanunua.Kama ni yeye anahudumia makanisa mawili ,kwa mfano akiugua ibada hakuna?Je Mungu akimwita?Huduma ndiyo inakuwa imeisha?
Yesu aliwafundisha wanafunzi wake kisha akawatuma duniani kote tena akawaambia mtaweza kufanya hata mambo makubwa kuliko niliyoyafanya,sasa huyu yeye wanafunzi wake hawaupokei huo upako alio nao ili waweze kuendesha ibada?Je Elisha hakupokea upako kutoka kwa Eliya?Shida iko wapi hapo mbona yeye tu anajichosha unataka kuniambia katika wafuasi wake maelufu hakuna ambaye Mungu amemuona anafaa?There is a hidden agenda.Niishie hapo.
Mitume wa siku hizi ni tofauti na wa kwenye Biblia,wa siku hizi wapo mjini tu ndipo walipotumwa na wao wenyewe ndiyo wanayasimamia makanisa ila wa kwenye biblia walikuwa wanaenfda maeneo tena kule ambako injili haijafika,wanafungua makanisa,wanayasimamia yakikaa vizuri wanaweka watu wao wanaenda kwingine kufanya kazi ya utume.Hawa wetu wa kizazi hiki wako mjini tu ingawa watu wa mjini injili walishaisikia.Bora yule mchungaji mla panya,huyo mkimsikia mpeni support yuko zake huko vijijini anafanya kazi ya Bwana.
Njoo inbox nikusaidie kama unahitaji kuingia mbinguni,otherwise Mithali 14:12 inakuhusu.
 
Wewe si mmeambiwa mkae kimya kwenye mitandao kumbe na wewe ni wa kule?Naomba uzingatie kuna thread kuna manbo nilkujibu naomba ukayasome upya yamkini Mungu akakusaidia.
Imani ni kitu chenye nguvu natamani niandike vitu hapa yamkini ukafumbuka lakini shida kama umepofushwa ufahamu unaweza usinielewe.
Kwa nini mtu mmoja ahudumie makanisa mawili?Je katika wafuasi wake hakuna aliowafundisha wanaoweza kushika hiyo huduma?Ndege atapata ila siyo kutoka kwa Mungu itatoka kwenye pesa zenu ,nyie toeni pesa kwa wingi atanunua.Kama ni yeye anahudumia makanisa mawili ,kwa mfano akiugua ibada hakuna?Je Mungu akimwita?Huduma ndiyo inakuwa imeisha?
Yesu aliwafundisha wanafunzi wake kisha akawatuma duniani kote tena akawaambia mtaweza kufanya hata mambo makubwa kuliko niliyoyafanya,sasa huyu yeye wanafunzi wake hawaupokei huo upako alio nao ili waweze kuendesha ibada?Je Elisha hakupokea upako kutoka kwa Eliya?Shida iko wapi hapo mbona yeye tu anajichosha unataka kuniambia katika wafuasi wake maelufu hakuna ambaye Mungu amemuona anafaa?There is a hidden agenda.Niishie hapo.
Njoo inbox nikusaidie kama unahitaji kuingia mbinguni,otherwise Mithali 14:12 inakuhusu.
👍 👍 👍
 
Back
Top Bottom