Je, Mwamposa yule "mtume" muasisi wa kukanyaga mafuta ya upako ni dhehebu gani? Je ni Calvary Assemblies of God ya Prophet Maboya?

Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,632
2,000
Katika makanisa mengi ambayo waumini hawana adabu Ni ya kipentecoste na sababu kubwa Ni hiki ulichoandika hapa.Kuwa watu wanamhitaji Yesu sio mtu.
Unakuta kila muumini anajifanya Yeye na Yesu Yesu na yeye hahitaji mtu.

Anasahau kuwa Mungu kaweka mitume ,manabii na kadhalika ili afanikiwe.Kwa hiyo dharau kwa viongozi iko juu mno na hii Sasa imeenda hadi.makanisa katoliki.nk
Sisi timefundishwa Biblia inasema wazi mwamini Mungu na manabii wake ndipo mtakapofanikiwa.

Kumwamini Mungu tu bila kumwamini nabii hufanikiwii ndio msimamo wetu .Ndio.maana tunamheshimu kupindukia Mwamposya tunajua tukimwamini Mungu tu hakuna Kitu

Mimi nawaamini wote kwa mpigo Yesu na nabii wake sio Yesu peke yake hapana.Namwamini yeye na Nabii wake
Ndio.maana uwepo wake kwangu muhimu mno
Ni kweli unatakiwa kumheshimu mtumishi wa Mungu na kumjali ila akienda kinyume na Neno la Mungu utakaa mkimya?Mungu mwenyewe alijua kuna watumishi wauongo watakuja ndiyo maana akatuambia "msiamini kila Roho bali zichunguzeni kama zinatoka kwa Bwana".Sasa mtumishi leo anaweza yuko sawa na Mungu,kesho akakengeuka,sasa ukitumia alivyokuwa jana ,wakati ameshakengeuka utapotea.Kwa hiyo suala la kuzichunguza Roho za watumishi ni suala endelevu,ndiyo maana kuna wazee wa makanisa na wengine moja ya kazi zao ni kumlinda mtumishi wa Mungu kuhakikisha yuko salama kimwili na kiroho.Sasa utakubaliana na mimi shetani hajalala,je akimshambulia akaleta mafundisho potofu mtapona?
Kuhusu mafanikio,biblia iko wazi kama unataka kufanikiwa principle ya mafanikio haijabadilika.Soma Kumbukumb 28:1-6 baraka zako zinapitia kwa kiongozi wako awe mchungaji au nabii sikatai,ila awe anatenda sawasawa na Neno la Mungu.
Hapo mnaposema bila kumwamini nabii hufanikiwa,sidhani kama ni kibiblia kwa maana kama kuna sehemu hakuna nabii hakuna watu kufanikiwa au ni manabii wameliweka hivyo ili muendelee kuwategemea?
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
11,002
2,000
Ndio ni mwanawe MTUME MABOYA kwa kiroho .Alikuwa muumini wake tu wa kawaida pale Arusha kanisani kwake akamfundisha ,kumlea hadi akaenda fungua kanisa la Calvary Assemblies Of God pale Moshi ambako vifo vimetokea, baadaye akafungua huduma ingine Dar es salaam ambayo iko pale Kawe nayo iko Chini ya CAG la Maboya. Na ASKOFU NA MTUME MABOYA ndie ASKOFU WAKE MKUU

Mtume Mwamposya huwa anahudumia makanisa mawili kwa Mpigo huwa yuko Dar es salaam na Moshi .Huweza kuhudumu kote kwa kutumia ndege za abiria.Akimaliza huku anapanda ndege anaenda kwingine kuhudumia.

Hizi ndege mara ingine zinamchelewesha huduma yake.Tunamwomba Mungu AMPE ndege yake binafsi ambayo atakuwa nauwezo wa kuondoka muda wowote atakao na kwenda kuhudumu popote sababu anahitajika mikoa yote Tanzania lakini sababu hana ndege yake binafsi mfano ya kuendesha ibada ya asubuhi labda Mwanza na ibada ingine Dar kwa siku inakuwa vigumu

Tuko kwenye maombi Mungu ampe ndege ya aina ya Gulfstream ina mbio za kutosha kwa private jets.Tushirikiane kumwombea apate

BULLDOZER MWAMPOSYA HUYOOOO

View attachment 1350819
Kama ni hivi basi Mwamposya ni mlafi.
 
Latrice

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
2,395
2,000
Anhaa nilifikiri labda maombi yake yalipandikiza kitu kibaya. Mungu anaona nia yako ya ndani kabisa, mfungulie mlango Yesu, Biblia inasema Ufunuo wa Yohana 3:20-22 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

20 Tazama, nasimama mlangoni napiga hodi. Mtu ye yote akisikia sauti yangu na kufun gua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami. 21 Atakayeshinda nitampa haki ya kuketi pamoja nami kwenye kiti changu cha enzi, kama mimi nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu kwenye kiti chake cha enzi.

So ni wewe kufungua moyo wako tu
Yesu anakusubiri uamue.Good lucky and God bless .na
Amen
 
Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,632
2,000
Hapana, ni miaka mingi imepita ila mimi si yule niliyekuwa kabisa mambo yangu mema hayako tena toka alivyoniombea I'm not a good person kabisa natamani kutoka niliko nashindwa
Njoo inbox nikushauri,kuna kitu watu hawajui unapowekewa mikono na mtumishi yeyote ukiacha uponyaji au chochote utakachopata utaunganishwa na madhabahu yake au Mungu /mungu wake anayemwabudu.Sasa ikiwa mungu anayemwabudu si wa Kweli hapo ndipo shida itaanza.
NB:Usipende kuwekewa mikono na watu ambao imani yao hauijui vizuri,unaweza ondoka na miroho mingine.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,656

unasaka waumini humu ha ha ha ha
 
cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,436

Hapana kwanini iwe inbox hapa hapa na sisi tusikie isije ukawa unataka kumpeleka akakanyage mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,656
2,000
Hapana kwanini iwe inbox hapa hapa na sisi tusikie isije ukawa unataka kumpeleka akakanyage mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta waumini hajui pa kuwapata!!! Karama hana kipawa hana ni kajaa tu mineno ya kushawishi ya kilaghai.

hapo ndipo Mwamposya anawapiga bao sababu injili yake sio ya maneno matupu
 
Emar

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
991
1,000
Ndio ni mwanawe MTUME MABOYA kwa kiroho .Alikuwa muumini wake tu wa kawaida pale Arusha kanisani kwake akamfundisha ,kumlea hadi akaenda fungua kanisa la Calvary Assemblies Of God pale Moshi ambako vifo vimetokea, baadaye akafungua huduma ingine Dar es salaam ambayo iko pale Kawe nayo iko Chini ya CAG la Maboya. Na ASKOFU NA MTUME MABOYA ndie ASKOFU WAKE MKUU

Mtume Mwamposya huwa anahudumia makanisa mawili kwa Mpigo huwa yuko Dar es salaam na Moshi .Huweza kuhudumu kote kwa kutumia ndege za abiria.Akimaliza huku anapanda ndege anaenda kwingine kuhudumia.

Hizi ndege mara ingine zinamchelewesha huduma yake.Tunamwomba Mungu AMPE ndege yake binafsi ambayo atakuwa nauwezo wa kuondoka muda wowote atakao na kwenda kuhudumu popote sababu anahitajika mikoa yote Tanzania lakini sababu hana ndege yake binafsi mfano ya kuendesha ibada ya asubuhi labda Mwanza na ibada ingine Dar kwa siku inakuwa vigumu

Tuko kwenye maombi Mungu ampe ndege ya aina ya Gulfstream ina mbio za kutosha kwa private jets.Tushirikiane kumwombea apate

BULLDOZER MWAMPOSYA HUYOOOO

View attachment 1350819
Angamia na uza roho yako kwa kukosa maharifa.
Unamacho ila huoni na masikio ila husikii pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,632
2,000
unasaka waumini humu ha ha ha ha
Waumi mimi siwezi kuwasaka bali Mungu mwenyewe ndiye anyeokoa,mtu hawezi kumpokea Yesu kwa ushawishi wa maneno ya kibinadamu kama Mungu mwenyewe hajamgusa.Sisi kazi yetu ni kuhubili kazi ya Mungu ni kuokoa.Hii issue ni serious sijafunguka kwa sababu za msingi nikifunguka yote niyajuayo joto litazidi.Kumbuka mimi ni kondoo katikati ya mbwa mwitu,hivyo ni lazima niwe makini.Yesu alisema "Ninawatuma kama kondoo katikati ya mbwa mwitu"Huu mstari si wa kuubeza.
Mimi nataka wewe upone ili uwaponye na wenzako.
 
Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,632
2,000
Hapana kwanini iwe inbox hapa hapa na sisi tusikie isije ukawa unataka kumpeleka akakanyage mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mimi si wa mafuta kaka mimi ni "team by Jesus name".Kuna mambo ya kujadili hapa na mengine ni private,kama unataka kujifunza na wewe njoo inbox nikuelekeze pa kwenda kama utasema uko mkoa gani hapa Tz.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,656
2,000
.
Hapo mnaposema bila kumwamini nabii hufanikiwa,sidhani kama ni kibiblia kwa maana kama kuna sehemu hakuna nabii hakuna watu kufanikiwa au ni manabii wameliweka hivyo ili muendelee kuwategemea?
BIBLIA NDIO IMEANDIKA HILO

2 Mambo ya Nyakati 20:20

Wakaamka asubuhi na mapema, wakaenda nje katika jangwa la Tekoa; nao walipokuwa wakitoka, Yehoshafati akasimama, akasema, Nisikieni, enyi Yuda nanyi wenyeji wa Yerusalemu; mwaminini Bwana, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa.

Kama nabii hayupo ni wajibu wako kumtafuta.Kama unamtafuta Mungu mtafute na nabii pia ili ufanikiwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom