Je, Mwalimu wa Kwanza alifundishwa na nani?

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
16,109
2,000
Naomba msaada wenu wanajf najua wako wataalamu waliobobea ktk mambo ya elimu
Kuna walimu waliozaliwa kuwa walimu ila hawakusomea taaluma ya walimu na wakawa walimu wa wanaosomea taaluma ya walimu, na kuna walimu waliosomea taaluma ya walimu japo hawakuzaliwa kuwa walimu kwa asili. changanya na za kwako
 
Dc.com

Member
Nov 28, 2015
84
125

Nimekupata mkuu.. japo maelezo yako yanakanganya kidogo
 
Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
661
1,000
Naomba msaada wenu wanajf najua wako wataalamu waliobobea ktk mambo ya elimu
Alitumia self knowledge, elimu ya kufundishwa ni formal au foreign it means kwamba sio halisi - you may call it fake kwasababu ina limitations.
 
Kiyawi

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
1,778
2,000
Naomba msaada wenu wanajf najua wako wataalamu waliobobea ktk mambo ya elimu
Mwalimu wa kwanza alifundishwa na wazazi, mzazi wako ndiye mwalimu wako wa kwanza so tengeneza logic from there.
 
CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,744
2,000
Walimu wa mwanzoni walikuwa ni ma-observant.

Ni watu waliokua wakiangalia maumbo ya vitu, taratibu za jamii n.k na kuzirekodi.

Baada ya kurekodi waliwafundisha watu wengine hivyo kujikuta rekodi zao[Knowledge] vikihama kutoka kizazi kimoja hadi kingine na mwishowe kuzaa 'elimu'.

Mfano ni wanafalsafa wa magharibi kama Socrates, Plato, Pythagoras, n.k waliokuwa wakichunguza maumbo ya ulimwengu na kuyarekodi kisha kuwafundisha wengine hadi elimu ya leo.
 
dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
662

Mwalimu wa KWANZA alifundishwa na SOCRATES kupitia DIELECTRICAL MATERIALISM ,

waliofundishwa walikuwa wengi ( sokoni na maeneo mengine ya mikusanyiko ya watu) lakini aliyeibukia zaidi ni PLATO ,
Huyu naye akamfundisha ARISTOLE kwa kiasi fulani cha PESA ( hapo ndipo ADA ilipoanzia),
ARISTOTLE akagundua baadhii ya masomo yanayo fundishwa hadi Leo kama BIOLOGY n.k
 
Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
661
1,000
Mwalimu wa kwanza alifundishwa na wazazi, mzazi wako ndiye mwalimu wako wa kwanza so tengeneza logic from there.
Anazungumzia elimu ya shuleni na kuna wazazi hawajaenda shule elewa mada vizuri.
 
kenshi

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,460
2,000
Ugumu wamambo najinsi unavyojitahidi kuyakabili au kujikwamua ndio unaweza kukufanya ukawa mwalimu wa hayo mambo
 
Dc.com

Member
Nov 28, 2015
84
125
Walimu wa mwanzoni walikuwa ni ma-observant.

Ni watu waliokua wakiangalia maumbo ya vitu, taratibu za jamii n.k na kuzirekodi.

Baada ya kurekodi waliwafundisha watu wengine hivyo kujikuta rekodi zao[Knowledge] vikihama kutoka kizazi kimoja hadi kingine na mwishowe kuzaa 'elimu'.

Mfano ni wanafalsafa wa magharibi kama Socrates, Plato, Pythagoras, n.k waliokuwa wakichunguza maumbo ya ulimwengu na kuyarekodi kisha kuwafundisha wengine hadi elimu ya leo.
Nashukuru nimepata kitu...maana hata walimu wenzangu walichemka kidogo
 
dadu

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
475
500
Ukitaka kujua mwalimu wa kwanza alifundishwa na nani
Tafuta yai la kwanza alitaga kuku gani na huyo kuku alitotolewa na yai gani hapo utajua mwalimu wa kwanza alifundishwa na nani
 
CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,744
2,000
Mwalimu wa KWANZA alifundishwa na SOCRATES kupitia DIELECTRICAL MATERIALISM ,

waliofundishwa walikuwa wengi ( sokoni na maeneo mengine ya mikusanyiko ya watu) lakini aliyeibukia zaidi ni PLATO ,
Huyu naye akamfundisha ARISTOLE kwa kiasi fulani cha PESA ( hapo ndipo ADA ilipoanzia),
ARISTOTLE akagundua baadhii ya masomo yanayo fundishwa hadi Leo kama BIOLOGY n.k
Kuna hearsay zinasema Socrates alikuwa anafundisha bure kwa sharti moja la kutaka mwanafunzi amgonge maana alikuwa shoga.
Umewahi kusikia kitu kama hicho?
 
edwin george

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
1,220
2,000
Watu wamezaliwa na vipaji,ukitaka kuwa mtu wa fani yoyote basi kuna watu walizaliwa ivyo bila kusomea mahali popote na ukitafakari sana utagundua kuwa dunia niyakitambo mpaka kupata levo hii tuliyonayo leo
 
Mr.Teacher

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
450
250
Naomba msaada wenu wanajf najua wako wataalamu waliobobea ktk mambo ya elimu
Kama Dekitambi alivyokueleza Socretes ndio mwalimu wa kwanza aliekua anatumia dialect materialism kwa kukusanya watu na kuwafundisha ambapo alirithiwa na mwanafunzi wake plato na baadae plato nae alirithiwa na Aristotle kati ya 425BC Mpaka 278BC huko Greece
 
dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
662
1,000
Kuna hearsay zinasema Socrates alikuwa anafundisha bure kwa sharti moja la kutaka mwanafunzi amgonge maana alikuwa shoga.
Umewahi kusikia kitu kama hicho?
Sikweli ,
Hawa watu wa ZAMANI waanzilshi wa ELIMU,
Kwao MAHUSIANO waliyaona ni kitu cha KIPUUZII
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom