Je, Mwalimu wa Kwanza alifundishwa na nani?

Mwalimu wa kwanza alijifunza peke yake through dialectic materialism and something similar to this method.

Yupo mtu mmoja aliitwa Frederick Douglas,Ukimsoma katika Autobiography yake utagundua kuwa alijifunza kusoma mwenyewe baada ya kumsikia slave master wake akimueleza mkewe kuwa Mtumwa hapaswi kujua Kusoma wala kuandika kwasababu hato-fit kuwa mtumwa baada ya kujua,so wapo watu wengi ambao wali-emerge na Elimu fulani pasipo kufundishwa.Japo wazungu walimbeza but he still a legend for what he did.

The Autobiography of Steven Douglas written by himself.Ukimsoma utajifunza mengi.
 
Waulize waalimu wa ngazi ya bachelor watakujibu kwa maana wao wanasoma ualimu.
 
Hakukuwa na walimu bali walikuwapo tunaowaita Great Thinkers kama kina Plato, Socrates na wengine hawa waliwafundisha watu kwa Yale waliyojifunza kutokana na mazingira
 
Naomba msaada wenu wanajf najua wako wataalamu waliobobea ktk mambo ya elimu
km unataka wa mwanzo kabisa ni ndege kunguru, alimfundisha Kaini namna ya kumzika nduguye Abel namna ya kuzika, kwani Kaini alihangaika sana kuuficha mwili wa nduguye na alipoaliza MUNGU alijidhihirisha kuwa yupo popote na ameona . .. akamfukuzia mbali, Kaini naye akawa Mwl
 
Walimu walianza kama hawa waalimu wa ujasiriamali walivyolipuka kwa wingi karne hii.
 
Back
Top Bottom