Je mwaka huu 2021 ulikuwaje kwako kwenye mahusiano?

😆😆Wanawake bwana..
" Am not leaving my lover , this means nothing . Now fuwck me"
😂😬 ..
Happy new year y'all .
 
FS hivi haya mamilioni ya watu unakaaje singo??? au umeamua??? usiwe singo buana ukibreak up saa mbili saa nne ingia tena kwenye relation mpyaaa maisha ndio haya haya 😁
😂😂😂 wewe niponze tu, huwa napumzika na kutafakari nilipokosea hadi nikaachwa ili isije kujirudia tena. Ila hiyo unaachwa saa 2 saa 4 ushaingia kwenye mpya nimeipenda, itanifaa kwenye hii new year 😂😂
 
Mmmh, kwa upande wa pesa zilikuja mwishoni mwishoni mwa mwezi huu ingawa hazikuwa za kutosha ila nashukuru kwa kidogo najuwa kingine kikubwa kitakuja,
Ila kwenye mahusiano sasa aisee nibora ningedete na msichana kutoka kundi la Boko haramu au Taribani kuliku kujihangaisha na huyu mshamba wa mji, kokote alipo me namwambia tu kuna ujana pia kuna uzee
kuna kuishi pia kuna Kifo,
kuna moto pia kuna pepoo( mbingu)
siwezi kumtambulisha kwa wazee harafu akanifanyia hivi, atakuja kulipa siku moja, najuwa kunguru hata umkalishe nyumbani vipi hato kaa,
huyu mdada yeye aendelee kuruka ruka tu kama kunguru
Hivi hizi laana huwa mnatupatia huwa mnamaanisha au mnatania!!
 
FS hivi haya mamilioni ya watu unakaaje singo??? au umeamua??? usiwe singo buana ukibreak up saa mbili saa nne ingia tena kwenye relation mpyaaa maisha ndio haya haya
Kwakweli sijawahi elewa hii kitu, yaani unakuwaje single!! Like how
 
Back
Top Bottom