Je mwaka huu 2021 ulikuwaje kwako kwenye mahusiano?

Mmmh, kwa upande wa pesa zilikuja mwishoni mwishoni mwa mwezi huu ingawa hazikuwa za kutosha ila nashukuru kwa kidogo najuwa kingine kikubwa kitakuja,
Ila kwenye mahusiano sasa aisee nibora ningedete na msichana kutoka kundi la Boko haramu au Taribani kuliku kujihangaisha na huyu mshamba wa mji, kokote alipo me namwambia tu kuna ujana pia kuna uzee
kuna kuishi pia kuna Kifo,
kuna moto pia kuna pepoo( mbingu)
siwezi kumtambulisha kwa wazee harafu akanifanyia hivi, atakuja kulipa siku moja, najuwa kunguru hata umkalishe nyumbani vipi hato kaa,
huyu mdada yeye aendelee kuruka ruka tu kama kunguru
Hahahahaha

Kuna mtu alinipaga laana za hivi mshenzi yule, juzi kaja tena ananililia,

Utanililiaje wakati ushanilaaani
 
Huo mwaka ni mwendo wa kuwa single tu yaani kwasbb nilishindwa kuchagua mtu sahihi kwangu ni yupi. Furaha ikaja kidg then ikapotea. Naimani mwaka huu Mungu atanipa weredi wa kutulia na kuchagua mtu sahihi kabisa Ili na Mimi niingie kwa mahusiano baada ya kuwa single 3 yrs.
 
Kweli ila kuna mda usingle unachosha sana, hamna hata baby wa kumdekea kidogo aarg
Ofcourse lakini unatakiwa ujifunze kuwa stoic (kuadjust na mabadiliko yoyote katika maisha) unaweza ukatamani kuwa kwenye mahusiano ikapelekea kudate na mtu ambaye anakurudisha kwenye maumivu ulipotoka. Cha msingi uvumilivu, ili kipindi mtu sahihi anatokea unakuwa upo single, siyo kwenye mahusiano yasioeleweka.
Unaweza ukaona unakosa vingi kuwa single lakini mfano mdogo unaona hapa Jukwaani MMU watu wanalia na mapenzi kila siku.
 
Ahsante mkuu, naamini huu mwaka utakua mzuri
 
Back
Top Bottom