Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,342
- 13,014
😃😃 Huu ni mjadala huru mkuu walengwa watakuja tu hapa kutetea imani zao mimi ni host tu.🤣🤣🤣
Kwahyo umeamishia Mada huku HOJA MBALIMBALI..
Umeitoa Jamii intelligence 🤣🤣
Ngoja nimuite mwenzangu Kiranga ..
Unatakiwa kwanza utupe Definition ya Mungu kazi zake na uwezo wke ndo tuchangie
Ni muhimu kutafakari kila jambo kamandaHakika kamanda ili swali huwa linanifanya nisiende kanisani kama nikienda ujue huwa naenda kutafuta samaki ya kuivua.
Tutimize wajibu wetuMungu ametengeneza Universe na vilivyopo, akavipa mipaka (guidelines) ya undendaji wake.
Akavipa akili ili viweze kujiendesha na kufanya maamuzi vyenyewe
Ninacho maanisha ni kuwa, hapa Duniani tupo kwenye mtihani; na kwa bahati nzuri mtihani wenyewe tumepewa na majibu (marking scheme); Ukitaka kupata majibu ya mtihani tuliopewa hapa Duniani, pitia Quran & Biblia. Kama huamini kuwa upo kwenye mtihani tena wa muda mfupi (miaka 60 - 100) Subiri siku ya malipo (day of judgement!) ndio utajua hujui.....
Mkuu, kwa nini umesema hivyo? Je, umefikiri kwa kina na mawanda yote kuhusu hii mantiki yako?Ukiona unamchagulia yapi anafanya na yapi hafanyi kwa kutazama mazuri na mabaya basi tambua huyo Mungu sio muweza wa yote bali wa machache tena yale tu yanayo kufurahisha.
Sasa iwapo hutaki kwenda huko yanakopatikania majibu, utaokokaje?Hakika kamanda ili swali huwa linanifanya nisiende kanisani
Mtihani huo ni matokeo ya Adamu na Hawa kushindwa mtihani wa awali alioagizwa asile matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya.Ninacho maanisha ni kuwa, hapa Duniani tupo kwenye mtihani
Mbaya zaidi kuna mchizi kafa kaadhibiwa kwajili ya wanadamu. wao wanaamini hivyo alafu cha ajabu bado wanaenda kuabudu wakati tayari wamekombolewa.Je, Mungu ni muweza wa yote ?
Kama jibu ni ndiyo.
Basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika.
Ukiona unamchagulia yapi anafanya na yapi hafanyi kwa kutazama mazuri na mabaya basi tambua huyo Mungu sio muweza wa yote bali wa machache tena yale tu yanayo kufurahisha.
Kasi ya kumuandama Mungu inaongezeka kila leoJe, Mungu ni muweza wa yote ?
Kama jibu ni ndiyo.
Basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika.
Ukiona unamchagulia yapi anafanya na yapi hafanyi kwa kutazama mazuri na mabaya basi tambua huyo Mungu sio muweza wa yote bali wa machache tena yale tu yanayo kufurahisha.
Wameufuta ule uzi?🤣🤣🤣
Kwahyo umeamishia Mada huku HOJA MBALIMBALI..
Umeitoa Jamii intelligence 🤣🤣
Ngoja nimuite mwenzangu Kiranga ..
Unatakiwa kwanza utupe Definition ya Mungu kazi zake na uwezo wke ndo tuchangie
Mungu alituumba tusijue jema na baya. tukaasi agizo lake tukala mti wa ujuzi wa mema na mabaya, ndio maana unateseka sasa. Yeye alitaka tuishi rohoni asilimia 100, ila tukaanguka, sasa tunaishi nafsini na mwilini, ndio maana ni tabu tupu. Ashukuriwe Mungu, Baba yetu aliyemtoa Mwanawe pekee Yesu, afe msalabani ili kupitia Yeye tupate UKOMBOZI na wokovu, kisha uzima wa milele.Je, Mungu ni muweza wa yote?
Kama jibu ni ndiyo, basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika.
Ukiona unamchagulia yapi anafanya na yapi hafanyi kwa kutazama mazuri na mabaya basi tambua huyo Mungu sio muweza wa yote bali wa machache tena yale tu yanayo kufurahisha.
hivi unafikiria kupitia ubongo gani ndugu yangu..!?Mungu alituumba tusijue jema na baya. tukaasi agizo lake tukala mti wa ujuzi wa jema na baya, ndio maana unateseka sasa. Yeye alitaka tuishi rohoni asilimia 100, ila tukaanguka sasa tunaishi nafsini na mwilini, ndio maana ni tabu tupu. Ashukuriwe Mungu, Baba yetu aliyemtoa Mwanawe pekee afe msalabani ili kupitia Yeye tupate UKOMBOZI na wokovu, kisha uzima wa milele.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Uzi upo Mkuu mimi mbona nauona na comment ya mwisho.imewekwa nusu saa ilopita..Wameufuta ule uzi?
Narudu na refresh hola. Mbona hakukuwa na baya zaidi ya majadiliano🤔🤔