ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,732
- 1,783
Hii sehemu ya paragraph yako baada ya kuipitia imenipa tafakuri yenye kiulizo"Mimi nimesema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo. Sijasema vilivyomo kwenye ulimwengu vimejiumba vyenyewe".
Tuseme kama mtu wa dini akidai kuwa kuna chanzo ambacho wao huita Mungu chenye ujuzi wote lakini si chenye upendo wote unaweza kukubaliana nae katika hilo..?