Kwa hiyo wewe ni rahis kuamini kwamba shetan ana nguvu kuliko kuamini uwepo wa Mungu? Jaribu kukimbizana na upepoYani kifupi ni kuwa huyo aitwaye shetani ameshinda, Mungu anawachukuwa watu kuwakimbiza mbinguni coz tayari shetani amejimilikisha dunia, dunia iliyoumbwa na Mungu.
watu wanatupa vijembe vya hatari dah bila woga
hahaaa '" wewe Jamaa bwanaKuna wengine umewatag hapo vichwa maji
Bwahahaa haha hahaaa.....Halafu ujue hawa wawili wanakutana sana, tangu shetani afukuzwe huko juu.
~Walikutana kipindi Ayoub anataka kujaribiwa, wakakubaliana kuwa Ayoub ajaribiwe tu ila asiuwawe...WALIKUBALIANA.
~Walikutana tena Yesu alipokuwa akijaribiwa huko nyikani, ila Yesu akamfukuza baada ya shetani kufanya mzaha na utani.
Kumbe bwana wanakutana na kukubaliana kabisa...Dah!!
Yaaani inashangaza sana....ujinga ujinga mtupu " tu ...tunaongopeana watu wazima ....""Hivi maswali ni magumu sana?
Kukesha kote kanisani/msikitini nashindwa kweli kujibu maswali marahisi kama haya kwa mistari ya biblia/Quran tukufu!.
Kumbe kanisani/msikitini naenda kupoteza muda tu
Kuna sehemu anasema, "walio wangu nawajua"... hivi kumbe kuna watu tunapoteza muda tu, Mungu anawajua watu wake. Kwanini atubague wakati yeye ndio katuumba?
hapa ndio napata sana ukakasiNimekumbuka yule dogo aliyewashitaki wazazi wake kwa kumzaa mzungu badala ya mweusi
Hivi siku ya kiama haiwezekan kukata rufaa ukihukumiwa kwenda jehanam!?
Kwanza wewe hukuomba uumbwe ila yeye ndio alikuumba kwa malengo yake sasa kosa lako ni nini hadi upelekwe jehanam?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
basi huyo mungu wako lofaKweli kabisa mkuu, MUNGU anafanya lolote atakalo yeye, Lowe jema ama baya.
Kwamba wakikutana wanapiga stori huku walokole wanakemea kwa nguvu zote[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Je Yesu alikuwepo? Kama Alikuwepo Then God Pia YupoUnaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo na si hadithi zilizotungwa na watu tu?