Je MUNGU hakujua kama Adam atakula tunda?

Psalm_23

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2026
Posts
2,301
Reaction score
4,328
Kama kuna mashahidi wa YEHOVA humu, anisaidie tafadhali....

Kuna jirani yangu JW hua ana nambia kwamba, MUNGU hakujua kwamba alipomuumba Adam atakula tunda...

Nimejaribu kumfanyia cross-examination majibu yake siyaelewi,

Labda kama yumo mwingine humu anieleweshe, kama hakuna nikipata time Jumapili, nitawatembelea, kwenye JUMBA LA UFALME...
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.

Kama hayupo, hakujua, kwa sababu hayupo.

Ili ajue, inabidi awepo kwanza.
 
Kama kuna mashahidi wa YEHOVA humu, anisaidie tafadhali....

Kuna jirani yangu JW hua ana nambia kwamba, MUNGU hakujua kwamba alipomuumba Adam atakula tunda...

Nimejaribu kumfanyia cross-examination majibu yake siyaelewi,

Labda kama yumo mwingine humu anieleweshe, kama hakuna nikipata time Jumapili, nitawatembelea, kwenye JUMBA LA UFALME...
HAKUJUA
KWASABABU MUNGU AMEMPA MWANADAMU MAMLAKA YA KUCHAGUA ( KWA HIYO MWANADAMU ANACHAGUA

UZIMA NA MAUTI

HAWA AKACHAGUA MAUTI

KWA KUDANGANYWA NA YEYE AKAINGIA KINGI.
 
Mkuu unataka kwa hiyo yale maongezi ya nyoka na eva alikuwa hajui nini kinaendelea?
 
Back
Top Bottom