Ufahamu wako wa kuhoji haunitoshelezi Mheshimwa.Kwa maelezo yako ni kwamba hata yeye hakuwepo, kama ni absolute nothingness, in every sense of the word (unayoijua na usiyoijua) , means hakuwepo, hata consiousness yake, haikuwepo, ili kitu kiwepo, inabidi kiwepo. Haiwezekani kitu hakipo halafu useme kipo, how?!
Okay! Na maendeleo ya sasa vumbuzi kubwa ya nchi (maeneo) tofauti tofauti yanachagizwa na nini?Kwahiyo unataka kunambia kabila la Dogon kule nchini Mali waliohifadhi kumbukumbu za mababu zao ni Wazungu mpaka wadanganye kwamba mababu zao wa kale huko misri walitembelewa na Miungu kutoka Orion mpaka wadanganye?
Think twice Broo Hata hao Wazungu waliambiwa na wamesoma text za kale ya kwamba wamisri wa kale waliweza cooperate na viumbe kutoka nyota za mbali kitu ambacho hata wao kinawashangaza iliwezekanaje?
Ukweli utabaki kua ukweli tu daima ya kwamba mababu wa kale huko misri walifikia maendeleo makubwa mpaka kuweza kushirikiana na viumbe kutoka Orion's!
Acha kubeza ukweli mchungu!
Mkuu chunguza kwanini Wazungu miaka ya 1400's walianza kuizunguka Dunia,wakitumia nguvu kubwa sana na kuwekeza Pesa nyingi kuwa finance kina Captain Magellan, Christopher Columbus,Vasco da Gama, Hernandez Cortez nk kwenda pande za mbali za Dunia kuchunguza vitu?Okay! Na maendeleo ya sasa vumbuzi kubwa ya nchi (maeneo) tofauti tofauti yanachagizwa na nini?
Anaesema hakuna MUNGU anatamba kwasababu ni nzima wa afya huyo, tusubiri aumwe alafu tutajifunza kitu kutoka kwake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ulimwengu ni nini? Tuanzie hapo.
Kwani Mungu ni nini?,ni kitu?,ni mtu?Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
None of the AboveKwani Mungu ni nini?,ni kitu?,ni mtu?
Kama Unakubaliana Na Hayo basi Hata Wale waliosema Sisi Tumetokana Na Nyani Wapo sawa.waliokua wanatumia zana za Mawe ni Homo Elactus
Ambao walikua Bado Wana u primitive
Baada ya Annunak kufika ndio wakamfanyia cloning project akawa homo sapiens Sapiens aliekamilika na super intelligent
Hata wanasayansi wanakili kwamba kulikua na mabadiliko ya ghafla Sana ya kimazingira maana homo Elactus walibadilika ndani ya Muda mfupi na kua homo sapiens kitendo kinachodaiwa kulikua na mwingiliano wa ghafla wa kitu kisicho Cha kawaida katika DNA zao
Yaani wanadai Homo Elactus Alikua kawaida tu ila baadaye ikaonekana ana DNA zilizopandikizwa kutoka Nje ya mfumo wetu wa Nyota na kumfanya awe modern Man na hapo hapo anaanza ustaarabu mkubwa wenye ujuzi wa kushangaza
Hivyo nadharia za Annunak kumproject Zina mashiko!
Hadi leo hawaelewi jiwe la tani 10 linapandishwaje hadi kwenye kilele cha pyramid bila vifaa vya hydraulics kama vya sasa, na wakiambiwa hao wamisri wa kale walikuwa weusi wanagoma na kupindisha ukweli hasa kwenye movies zake. Mzungu hapa anatupiga changa la machoUlichokiandika hakina tofauti na wanaoandika kwa mlengo imani ya dini. Umekielezea ulichokiamini nao wanaelezea wanachokiamini.
Unajua katika race zote ulimwenguni mzungu ndiye race ya mwisho kupata elimu na kuendelea mpaka leo hii. Kwa kila zama ziliendelea kielimu, kiuchumi, kitabibu na kiteknolojia kulingana na zama husika. Mzungu ndiye akawa race ya mwisho kurithi haya.
Lakini mzungu alichokifanya ni kuzima vumbuzi za nyuma kwa kuzinyanyua kuzifanya za kwake husika na kwa mlengo huo zama zilizopita akazifanya ni dark ages, ndilo jina alilolipa. Na kama nilivyoelezea hapo awali; asili ya mzungu kupata elimu ni Misri ya kale. Anachokifanya mzungu ni kupoteza ushahidi wa maendeleo ya kiujumla ya zama zilizopita kwa kupachika ANUNAKI, na kama ukihitaji kulifahamu hili zaidi angalia documentaries zinazoelezea maendeleo ya Misri ya kale, wazungu wanakataa wanasema kwa karne hizo binadamuasingekuwa na ujuzi huo bali kuna msaada wa waziunaonekana aliupata. Kutoka kwa nani? Jawabu wanakupatia ni ANUNAKI.
Hivyo, hili suala la ANUNAKI usiliangalie kwa upande mmoja wa chapa ya sarafu, liangalie kwa pande zote mbili. Jawabu utakalolipata ni suala si ANUNAKI, suala ni kuna kitu wanajaribu kukifanya.
Imani yako juu ya ANUNAKI naiona haina tofauti na imani ya wale wanaosema wanaoamini vitabu vitakatifu vya Mungu.
Nakujibu hayo yote kwa namna rahisi kabisa. Katika chujio lenye vitundu vya sentimita 1, unategemea jiwe la sentimita 2 lipite? Na kila wakati yakipita mawe ya sentimita 1 tu na si mengine utashangaa? Ulimwengu wetu kuanzia mwanzo ni chujio, kinachokidhi vigezo tu ndio kinabaki. Hence evolution (natural selection and adaptation). Na nilishafafanua kwenye uzi huo chiniUfahamu wako wa kuhoji haunitoshelezi Mheshimwa.
Uwepo wa nukta A hali yake ni lazima ufanane na uwepo wa nukta B?
Labda nilielezee kwa mifano: Tabaka la viumbe hai liko kwenye mpangilio wa kushangaza na wanasayansi kila mwaka wanakuja (wanavumbua) sheria mpya zinazoendana na mpangilio huo. Katika elimu ya fizikia, ili mabadiliko yaweze kutokea kwenye dutu, dutu hiyo itabidi ibadilike.
Mfano mwengine: Hewa ni mchanganyiko wa nitrogen 78%, oxygen 21% na noble gases ambayo ni 1%. Hewa si kitu kimoja bali ni mchanganyiko. Basi oxygen angezidi kipimo cha 21% angeweza kuyachoma mapafu yetu. Na angelikuwa chini ya 21% asingeweza kuchoma rutuba za damu. Na isingewezekana binadamu na wanyama kuishi. Kipimo hiki hakibadiliki kutoka kwenye sehemu kwenda nyengine hata mvua ikinyesha.
Haya ni mabadiliko yaliyo kwenye mpangilio wa kushangaza. Na mabadiliko haya hayajaanza leo wala jana, tangu dunia ilipoanza kusapoti uwepo wa viumbe hai mpaka sasa. Hii inaonyesha yupo aliyeweka huu mpangalio. Huu utaratibu upo pia ndani ya kanuni zinazojulikana za kifizikia, kimia, astronomy n.k. Mpangilio wa kanuni hizo upo kimahesabu.
Huu mpangilio si wa bahati mbaya, bali unaonekana una msimamizi, na msimamizi huyu anaonekana ni mwenye uwezo, mda wote yupo hai, mjuaji wa kila kitu, kusikia kila kitu, mwenye kuona kila kitu, mwenye kusema na mwenye kuumba. Kwa sifa kama kutokuwepo, kifo, ujinga, kutokuweza au kuondolewa na wengine, kulazimishwa, uziwi, upofu na ububu ni sifa zenye kasoro na hazijakamilika. Kwa hivyo basi sifa zenye kasoro kama hizo haziwezi kuwa kwa msimamizi, mleaji wa kanuni na mahesabu hayo maalumu.
Nukta yangu ni nini? Tizama sifa zake na sifa zako wewe zinaendana? Narudi awali kwenye swali langu; Uwepo wa nukta A hali yake ni lazima ufanane na uwepo wa nukta B? Sifa za A ni lazima zifanane na za B? Uwepo wako wewe ni lazima ufanane na uwepo wa Mungu? Nguvu zako ni lazima zifanane za nguvu za Mungu? Ufahamu wako ni lazima ufanane na wa Mungu? Hata logic inakataa.
Alikuwepo Mungu pasipo na chochote kuwepo!
Na nani aliyekuambia pasipokuwepo kitu, hicho kitu nacho hakipo? Space ipo, ipo kwenye nini?
Na huyu Binadamu alitokea wapo, nani kamuumbaMungu hawezi kuumba wala kufanya chochote.
Mungu hayupo.
Binadamu ndiye alimuumba Mungu kwenye fikra zake.
Mungu alitokea wapi kwani?Na huyu Binadamu alitokea wapo, nani kamuumba
Ushawaka mwanangu 😂 😂 😂 😂Mambo yake mwachie mwenyewe
Cc Smart911
Na Kama unaona hutaki kuishi kwenye mazingira aliyotengeneza Basi jikatae nenda unapoona NI sahihi KWAKO sisi tumeridhika na malocation take oya wanangu kuleni bia
MUNGU NI MUNGU.... Yeye ni mwanzo, na pia mwisho. Alikuwepo tangu mwanzo, yupo na atakuwepo to the infinity. Wewe utaondoka na vizazi vyako vyote... Lakini yeye atakuwepo. Aliamuru ulimwengu nao ukatokeza... Hazuiliwi na nafasi , anakaa popote... Beyond space !!Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
Sijabisha, aliumba akiwa wapi?MUNGU NI MUNGU.... Yeye ni mwanzo, na pia mwisho. Alikuwepo tangu mwanzo, yupo na atakuwepo to the infinity. Wewe utaondoka na vizazi vyako vyote... Lakini yeye atakuwepo. Aliamuru ulimwengu nao ukatokeza... Hazuiliwi na nafasi , anakaa popote... Beyond space !!
Beyond space !!Sijabisha, aliumba akiwa wapi?
Beyond space imetoka wapi wakati hapakuwa pameumbwa chochote?, au hiyo beyond space kama alishaiumba kabla, aliiumba akiwa wapi?Beyond space !!
Wewe ulitokea wapi kwani.Mungu alitokea wapi kwani?