Mgoyangi
Senior Member
- Feb 6, 2008
- 184
- 9
Kuna wakati kulikuwa na makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini kwamba Mtz akitaka kwenda South hatalazimika kulipia visa, na vivyo hivyo M- south nataka kujua huu mpango ulifikia kuwa kamili ama ulikuwa usanii.
Je Mtz akitaka kwenda South Africa anahitaji Visa? na kuna utaratibu gani wa kupata visa.
Waungwana naomba mnisaidie katika hili.
Je Mtz akitaka kwenda South Africa anahitaji Visa? na kuna utaratibu gani wa kupata visa.
Waungwana naomba mnisaidie katika hili.