Wanawake mnateteana kwa sababu mnayajua madhambi yenu.Kitakachouua wewe ni mkeo, mume aliyezaa naye na huyo mtoto wa kambo.
Mtoto msomeshe hujui kesho yake.
Mali hauondoki nazo, wagawie watoto wote sawa,
Mkeo naye ana haki hata kama alivikuta, si anakupikia, kukufulia, kuzaa, kukuandalia hata maji uoge, naye mgawie.
Ila, ikitokea umetangulia kufa hao wanao wako taabuni.
Hakuna mtoto mbaya kuliko mtoto wa kambo japo siyo wote...
Sent using Jamii Forums mobile app