Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,393
- 79,605
Mtoto anamjua baba yake. Alilelewa na huyu kuanzia akiwa na miaka 4Mtoto alijuaje huyo anayemlea sio baba kama wewe hukumwambia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto anamjua baba yake. Alilelewa na huyu kuanzia akiwa na miaka 4Mtoto alijuaje huyo anayemlea sio baba kama wewe hukumwambia?
Kwa experience yangu, mtoto ni issue nyingine. Si rahisi hasa sie wanaume usiwasiliane na mama uwasiliane na mtoto pekee.Ukitaka asiwasiliane nae timiza majukumu. Mimi siwasiliani nae bali mtoto mwenyewe ndo ana wasiliana na baba yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona na ndiyo maana unaweza kucontain ile hali uloielezea. Ni ngumu na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
Anaishi kwa matumaini, mrudie mwenzio..duh miaka 18, kumbe wewe mhenga mwenzanguNakuona na ndiyo maana unaweza kucontain ile hali uloielezea. Ni ngumu na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Mimi ninaye ila mama yake hakutaka kuolewa, cheki mtiti nilionao. Kila siku anadhani nitamrudia na tangu tuache jijigi ni miaka 18 sasa.
We acha tu, unataka ukale pilau na kuimba’palapanda’ kabla ya JPM hajaingia awamu ya piliAnaishi kwa matumaini, mrudie mwenzio..duh miaka 18, kumbe wewe mhenga mwenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanya vyemaNajibu hapo mwisho kwenye mchango wa mwanamke. Mke wako ana haki na mali zako hata kama amezikuta.. mchango wake sio lazima uwe pesa..Kama anatekeleza majukumu ya kulea familia na kukutunza huo ni mchango tosha. Haki anayo kama hajakiuka mambo mengine ya mahusiano yenu.
Kuhusu mtoto wa kambo subiri wanasheria wabobezi waje...
Acha uwogaWe acha tu, unataka ukale pilau na kuimba’palapanda’ kabla ya JPM hajaingia awamu ya pili
Najibu hapo mwisho kwenye mchango wa mwanamke. Mke wako ana haki na mali zako hata kama amezikuta.. mchango wake sio lazima uwe pesa..Kama anatekeleza majukumu ya kulea familia na kukutunza huo ni mchango tosha. Haki anayo kama hajakiuka mambo mengine ya mahusiano yenu.
Kuhusu mtoto wa kambo subiri wanasheria wabobezi waje. Ila mtoto kufahamu baba yake mzazi ni Jambo la kheri..sema bidada kakiuka makubaliano yenu...
Mtoto wa kambo endapo mama yake akifa pamoja na mdogo wake ambaye mtoto halali kibailojia kwa baba wa kambo je anawezaje kudai urithi kwa huyu baba?Mimi nilidhani mali alizokuta mke hana haki nazo, unless iwe imeandikwa. Mtoto wa kambo kisheria hana haki na mali za baba wa kufikia, unless huyo baba awe ametoa will au mama ampe mwanae mali atakazopata toka kwa mumewe.
Ukiipa kisogo K, lazima uangaze mbele. Palapanda kwa wengine ni wimbo, kwa tegemezi ni kiama
Hapo sawa.Mtoto anamjua baba yake. Alilelewa na huyu kuanzia akiwa na miaka 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumlazimisha amuhudumie. Na ni yeye alisema hataki mawasiliano na baba yake. Makosa mnafanyaga wenyewe kujipendekeza unaweza kuhudumia kumbe hamuwezi. Ukiamua kuhudumia hudumia kama hutaki acha waendelee kuwasiliana na baba mtoto. Kikubwa ni jinsi mlivyokubaliana.Wanawake mnafanyaga makosa yatayo/yanayowagharimu ninyi wenyewe au watoto halafu mnalalamika kwa upumbavu mliouumba menyewe, mtoto ana babake unataka nimhudumie kama ntoto wangu wa damu?...
Weka sheria inayosema anaweza kurithi sio blank words,huyo mtoto sio damu yako how come anakua mrithi?Najibu hapo mwisho kwenye mchango wa mwanamke. Mke wako ana haki na mali zako hata kama amezikuta.. mchango wake sio lazima uwe pesa..Kama anatekeleza majukumu ya kulea familia na kukutunza huo ni mchango tosha. Haki anayo kama hajakiuka mambo mengine ya mahusiano yenu...
Kitakachouua wewe ni mkeo, mume aliyezaa naye na huyo mtoto wa kambo.
Mtoto msomeshe hujui kesho yake...
Unajua kusoma kweli mkuu? Wapi nimesema mtoto wa kambo ana haki ya kurithi?Weka sheria inayosema anaweza kurithi sio blank words,huyo mtoto sio damu yako how come anakua mrithi?Kama mama yake kamdanganya kuwa Baba yake ndio kamgharamia vyote mwache aende kwa baba yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mtoa mada katimiza majukumu still bidada kawasiliana na baba mtotoUkitaka asiwasiliane nae timiza majukumu. Mimi siwasiliani nae bali mtoto mwenyewe ndo ana wasiliana na baba yake.
Sent using Jamii Forums mobile app