Mkuu huyu Msigwa hata kile kitengo cha Idealogy and Publicity pale CCM hakiwezi na anapwaya vibaya mnoo. Nadhani CHADEMA alikuwa anapewa mentorship sasa kule CCM kila mtu yupo kivyake atapata tabu sanaInaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.
Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.
Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?
Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?
Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.
Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.
Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Msigwa huko CCM ni kama zigo la mavi habebeki. Kumtukana Mbowe hakuisaidii chochote CCM.
Na aliwaaminisha ccm kwamba akiondoka CHADEMA.. Chama kitayumba maana ataondoka na FUSO la wanachama!!!Mkuu huyu Msigwa hata kile kitengo cha Idealogy and Publicity pale CCM hakiwezi na anapwaya vibaya mnoo. Nadhani CHADEMA alikuwa anapewa mentorship sasa kule CCM kila mtu yupo kivyake atapata tabu sana

Pale ni dustbin yule ndugu, sio wote ila ngozi nyeusi tupo na laana nyingi na zingine za kujitakia tuInaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.
Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.
Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?
Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?
Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.
Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.
Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kuhusu Msigwa ndani ya CCM, maoni yanaweza kutofautiana kulingana na mtazamo wa kisiasa wa mtu.Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.
Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.
Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?
Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?
Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.
Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.
Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Acha ujinga wako dogo.Msigwa huko CCM ni kama zigo la mavi habebeki. Kumtukana Mbowe hakuisaidii chochote CCM.
Hivi bado hajapata ukuu wa wilaya ama wa mkoa kumbe yuko chini ya uangalizi? mimi nilidhani ukijiunga tu unapewa, I thought it is an easy goInaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.
Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.
Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?
Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?
Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.
Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.
Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Ni liability minus asset😀Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.
Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.
Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?
Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?
Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.
Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.
Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kama vile ambavyo CCM kilivyokuwa "net loss" ndani ya taifa hili ndivyo hata ambavyo alvyokuwa "liability" mtu huyu ndani ya chama hiki.Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.
Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.
Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?
Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?
Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.
Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.
Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Lucas Mwashambwa wewe ni papai,umepata danga jipya tumbili Peter MsigwaAcha ujinga wako dogo.