Ila ni uzi wa chuki dhidi waziri Ummy au vipi?
Kwa sababu hata huyo Bwanaunu ktk maelezo yako ya mbele unaona nae hakuwa na makosa ila ni Ummy,Ummy Ummy tu.
yaani we jamaa chuki itakuua ujue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu hizi ni fikra za incompetent people majungu tuMajungu Ni mtaji wa wasioweza kazi
Hakuna ulichoweka chenye evidence
Global supply chains hazina watu shallow hivi... Umekusanya maneno ukayaundia thread
HapanaInaonekana umeguswa sana, na unajitahidi kumnyamazisha mwandishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana
Madawa na vifaa tiba Ni essential live saving things
Majadiliano yake na solutions zake zinahitaji depths, capabilities and solutions na sio majungu
Alikua wapi siku zote kuibua mahusiano yasiyofaa ya Hawa viongozi?
We need more
I will take ushauri wako wa terminologies like madawa vs dawa nk.Pole. Sio Madawa ni Dawa. Na sio essential live saving things. Ingependeza kama ungeandika hivi-Dawa na Vifaa tiba ni life saving items.
Hakuna essential and life saving at the same time. Najaribu kukuonesha tofauti yangu mimi na wewe [emoji23].
Mkuu ingependeza sana kama ungefungua uzi wako na kuyaelezea hayo unayoyaita
We need more
Shida ni pale unapompangia mtoa thread nini cha kuandika.
Nakushukuru sana kaka.
Mk54
I will take ushauri wako wa terminologies like madawa vs dawa nk.
Sifungui Uzi... Huu unatosha
Umeishia kwenye terminologies Sasa
But know know very little about challenges zinazoathiri mfumo wa afya Tanzania
Ugavi na usambazaji na usimamizi wa dawa na vifaa tiba waweza kuwa na asilimia 30% tu ya mchango kamili wa shida
Reading between lines ni supplier aliyenyimwa tender ya kuuza dawa na inawezekana ni delivery kit. Kama walivyosema wengine hayo ni majungu hasa ukijikuta unazungumzia mapenzi na bla bla za kitoto. Supply chain inategemea vingi mno.Ndugu Janjaweed, ninaujua mfumo wa Afya Tanzania in and out na ndio maana nimeandika hii thread.
Kazi yangu ya kwanza nimeanza kufanya na Halmashauri huko ndani ndani Tanzania kwenye Hospitali za Serikali kipindi hicho bwanakunu yupo Red Cross. Nimetoka Halmashauri nikaenda Hospitali za Mkoa. Nimetoka Hospitali ya Mkoa nikaenda Hospitali ya Taifa. Nimetoka Hospitali ya Taifa nikaenda NGo jina kapuni: nimetoka hapo nikahamia kwa Supplier wa hayo unayoyaita Madawa na baadae Kwenda WHO na kuhamishwa nje ya nchi. Kwa sasa nipo Namibia nafanya kazi na WHO.
Kila ngazi niliyoitaja hapo nimefanya kazi na MSD kama mteja wao. kuanzia Halmashauri mpaka hapo. Ninajua changamoto zao zote na ninachokiandika sio majungu ni ukweli tupu. Ninaijua Wizara ya Afya vizuri sana. Ni wizara inayoendeshwa Kiholela kila mtu ni Boss kila mtu mjuaji ndio maana nikasema it needs some 1 strong but also technical.
Ukinipa kazi nifanye pale, hata kwa mshahara wa 50M siendi, kwa hakika kabisa.
Honestly, you have nothing to tell me about health care system in TZ, and there is nothing I can learn from you of the same.
You might say I am much know. Yes I am, and that is true. I am proud of that. And you are very lucky to chatting with me today, just pay attention!
Huu sio uzi wa kuelezea Mahitaji, Ugavi na Usambazaji. Huu ni uzi wa kuusifu uteuzi wa JPM kuhusu Bohari kwa mara ya kwanza katika Historia ya TZ.
I am impressed with your name though; I love Canabis, do you smoke some like me ?
Mk54
)Ningekuwa TZ sawa. Nyie ndio msimame.
Mk54
Reading between lines ni supplier aliyenyimwa tender ya kuuza dawa na inawezekana ni delivery kit. Kama walivyosema wengine hayo ni majungu hasa ukijikuta unazungumzia mapenzi na bla bla za kitoto. Supply chain inategemea vingi mno.
)
Kumbe unabuni unayosema. Inasikitisha sana. Kuna watu wengi wanaufaham na haya. Wewe unabahatisha na kuhangaika bure. Mwenye mamlaka ana uwezo wa kuteua na kutengua ila si kwa uongo wako
Reading between lines ni supplier aliyenyimwa tender ya kuuza dawa na inawezekana ni delivery kit. Kama walivyosema wengine hayo ni majungu hasa ukijikuta unazungumzia mapenzi na bla bla za kitoto. Supply chain inategemea vingi mno.
Delivery packs ni ile mifuko au package kwa ajili ya kina mama kujifungua. Kwa hiyo usifanye wote wajinga.. Ni uhakika Bahari alikukamata. Unaugulia maumivu. Hiyo ndio biashara, move on. Ulishindwa, inatosha. Mara mlolongo wa malipo na blah blah.Hapana. Unajua taratibu za Tenda? Unajua maana ya Delivery Pack ?
Ukisoma vyema komenti zangu utagundua this is very positive thread with good intention.
Wakati tunafanya kazi na huyo Supplier, tulikuwa tunakataa kazi za MSD kwa sababu taratibu zao za malipo ni ndefu na ufuatilie sana pesa kuzipata.
Na sisi tulikuwa tunadili na dawa; sio Medical equipments kama hizo delivery pack. Ni vitu 2 tofauti. Dots zako umezi konekti vibaya.
Pole. Ninakushukuru sana.
Mk54
Sekretarieti ya ajira ndio inayoajiri. Njoo na ushahidi wa upendeleo.Unaweza kuandika mistari 3 kutoka kwenye uzi yenye ishara ya Uongo. ?
Mbona mnapanick sana, shida nini ? Si mjiamini tu.
Nakushukuru sana
Mk54
Delivery packs ni ile mifuko au package kwa ajili ya kina mama kujifungua. Kwa hiyo usifanye wote wajinga.. Ni uhakika Bahari alikukamata. Unaugulia maumivu. Hiyo ndio biashara, move on. Ulishindwa, inatosha. Mara mlolongo wa malipo na blah blah.
Umeshindwa kutoa ushahidi zaidi ya kuharibu credibility ya JF. Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuja na hoja za userengeti boys? Hapo ulionyesha utoto uliokithiri.Hihihi, Mmeguswa pabaya eenh! Maana naona wenzio wananijia DM kuniambia nisiendeleze huu uzi. Nimewasikia na nitaachana na huu uzi kwa maslahi yenu na wala sifurahi kuona binadamu mwenzangu anaishi kwa hofu.
halafu huu uzi ni very positive mtu yoyote akiusoma na kama anakili ata appreciate ushauri. Kwa kuwa nyie ni mambwa mwitu, mnachukulia this thread kama ni kumuharibia mtu. Hata niandike nini, I am not in the position to convince JPM to do anything au kumtumbua mtu.
If I was in that position basi ningemshauri JPM ajitumbue yeye kwanza. So relax, this is just ideas worth sharing, nothing personal.
Pole Kaka.
Mk54
Umeshindwa kutoa ushahidi zaidi ya kuharibu credibility ya JF. Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuja na hoja za userengeti boys? Hapo ulionyesha utoto uliokithiri.
HahahahaaaaaNdugu Janjaweed, ninaujua mfumo wa Afya Tanzania in and out na ndio maana nimeandika hii thread.
Kazi yangu ya kwanza nimeanza kufanya na Halmashauri huko ndani ndani Tanzania kwenye Hospitali za Serikali kipindi hicho bwanakunu yupo Red Cross. Nimetoka Halmashauri nikaenda Hospitali za Mkoa. Nimetoka Hospitali ya Mkoa nikaenda Hospitali ya Taifa. Nimetoka Hospitali ya Taifa nikaenda NGo jina kapuni: nimetoka hapo nikahamia kwa Supplier wa hayo unayoyaita Madawa na baadae Kwenda WHO na kuhamishwa nje ya nchi. Kwa sasa nipo Namibia nafanya kazi na WHO.
Kila ngazi niliyoitaja hapo nimefanya kazi na MSD kama mteja wao. kuanzia Halmashauri mpaka hapo. Ninajua changamoto zao zote na ninachokiandika sio majungu ni ukweli tupu. Ninaijua Wizara ya Afya vizuri sana. Ni wizara inayoendeshwa Kiholela kila mtu ni Boss kila mtu mjuaji ndio maana nikasema it needs some 1 strong but also technical.
Ukinipa kazi nifanye pale, hata kwa mshahara wa 50M siendi, kwa hakika kabisa.
Honestly, you have nothing to tell me about health care system in TZ, and there is nothing I can learn from you of the same.
You might say I am much know. Yes I am, and that is true. I am proud of that. And you are very lucky to chatting with me today, just pay attention!
Huu sio uzi wa kuelezea Mahitaji, Ugavi na Usambazaji. Huu ni uzi wa kuusifu uteuzi wa JPM kuhusu Bohari kwa mara ya kwanza katika Historia ya TZ.
I am impressed with your name though; I love Canabis, do you smoke some like me ? Do you get high like me ? Let’s meet and awakening!
Mk54
Hahahahaaaaa
You are privileged too ndugu... The only difference Kati yangu na wewe Ni Mimi kuachana na ukiritimba wa UN na kuhangaika na corporates
Of all the things umeongea kwenye hii thread issue ya kila mtu wizarani kuwa bosi ndio nakuunga mkono 100%
I would not comment further
But I question your patriotism and commitment to the well-being ya watanzania if you refuse kurudi kusaidia nchi yako after hayo majigambo
UN system haina tofauti yoyote na mifumo yetu ya serikali... UN Ni slow, sluggish and non committal when it comes to any tough decisions... And are quick to throw others under the bus
Nampongeza Bri. General na Nampa pole, he will only succeed I'd he makes drastic changes and take a reform agenda to the core