Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,810
- 11,541
Watu wa Iringa hao. Watu wa Iringa Wengi ndio wapo Kwenye system ya SECURITY na Usalama. Tena wapo Kwenye Senior Positions. Jeshini na Tanzania Intelligence Services ndio wapo wengi sana
MSD wanasambaza vyandarua nchi nzima kwa landcruiser hardtop kwenye vijiji vyote, why? Zoezi linachukua miezi sita.
Mnashindwa ku decentralize kwenye Halmashauri wafanye kazi hiyo?
Hatutasogea kwa haraka kwa tabia hiyo ya kutaka mfanye kila kitu chenye posho.
TAMISEMI wangeratibu zoezi nchi nzima kwa wiki mbili tu, sasa kwa urasimu wa MSD watafanyakazi hiyo kwa nusu mwaka.
Haijalishi Nchi hii ni milki ya watanzania na sio kabila fulani
Hao waliokuwa wanapendelewa walikuwa Kanda gani mkuu?Bado unataka ushahidi. Nadhani Brigedia kafanya ukaguzi wa kutosha na amekutana na mengi Kwenye kupenyeza ajira za kikanda bila kufuata Utaratibu wa kuajiri katika taasisi za umma. Kupandisha watu madaraja kikanda hii pia imewakosti. Matumizi mabaya ya fedha na rushwa ya ngono. Tafakari na JPM HAPA KAZI TU
DuhHuyo Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala alikuwa ni hawara wa Bwanakunu na amefanya naye mauchafu mengi. Anaitwa Vicky Elangwa
Hilo jina Mbona gumu na sio common kwa watanzania?Huyu Bwanakunu hata uraia wake ni wa mashaka!! Watu wanaopewa madaraka makubwa ya kuongoza taasisi nyeti za umma inapaswa wachunguzwe na TIS!! Ndo maana akatafuna fedha za MSD bila huruma!! Apewe hukumu kali na wenzake ili iwe fundisho kwa wengine!!
Uko sahihi na njia wanayotumia ni gharama kubwaMSD wanasambaza vyandarua nchi nzima kwa landcruiser hardtop kwenye vijiji vyote, why? Zoezi linachukua miezi sita.
Mnashindwa ku decentralize kwenye Halmashauri wafanye kazi hiyo?
Hatutasogea kwa haraka kwa tabia hiyo ya kutaka mfanye kila kitu chenye posho.
TAMISEMI wangeratibu zoezi nchi nzima kwa wiki mbili tu, sasa kwa urasimu wa MSD watafanyakazi hiyo kwa nusu mwaka.
Hii ni kwanini mkuu?Watu wa Iringa hao. Watu wa Iringa Wengi ndio wapo Kwenye system ya SECURITY na Usalama. Tena wapo Kwenye Senior Positions. Jeshini na Tanzania Intelligence Services ndio wapo wengi sana
Muajiri ndio board ya korosho eehNi sahihi kabisa. Ila cha ajabu moja ya kashfa kubwa ya MSD ni kuajiri Kikanda. Kama si kweli serikali ikachunguze hizi tuhuma. Watu wanatakiwa kuajiriwa kutokana na competence na sio tofauti . Kuna mizoga MSD kazi yao ni dili fake na kuvuta posho za nguvu huku taasisi hakuna inachofanya
Hao waliokuwa wanapendelewa walikuwa Kanda gani mkuu?
Uko sahihi kwa kiasiMengine ni majungu kama kawaida. Sio lila habari ni habari
Msd ndio wanadaiwa kuliko taasisi zoye za serikali,waambie walipe madeni tupate dawa,hosp za serikali hazina dawa ukienda maduka ya msd kumejaa chupa za drip.
Mengine ni majungu kama kawaida. Sio lila habari ni habari
Itifaki za majadiliano ni kuonesha kuwa wewe sio MJINGA kwa maana ya ; unapokanusha hoja fulani unatakiwa hapo hapo kutoa ile unayohisi sio Majungu. Vinginevyo utakuwa Mropokaji. Ina maana mpaka kaondokewa bado kaondokewa kimajungu?
ππππππNdio wamempeleka huko ?
ππππππNdio wamempeleka huko ?
Huyu Vick sifa yake kubwa anajua robbing sana kapiga pesa sana za ma supplier , mtu wa njama njama sana aliifanya msd kama ya kikanda akamponza muhaya bure eti naskia kapewa shavu bodi ya korosho jamani muwe waangalifu nyie wa utumishiHuyo Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala alikuwa ni hawara wa Bwanakunu na amefanya naye mauchafu mengi. Anaitwa Vicky Elangwa