Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 324
Hapanahuyo mpangishaji ndo wewe?
Mwanaume hawi mume wa mtu kisa amezaa nae.Tambua Ukisha Mzalisha Tayari Anakuwa Mzazi Mwenzako, Hivyo Suala La Yeye Kuishi Hapo Baada Ya Wewe Kufa Halikwepeki Kwasababu Atakuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Marehemu Mume Wake Au Baba Wa Mtoto wake.
Vipi Kuhusu Kuwa Mzazi Mwenzie Nalo Haliwezekani?Mwanaume hawi mume wa mtu kisa amezaa nae.
Vipi Kuhusu Kuwa Mzazi Mwenzie Nalo Haliwezekani?
Ahsante sana mkuuHilo lako wazi. Japo nalo lina ka mlolongo wa kudhibitidha partenity. Ikidhibitisha anaweza kupata sehemu fulani lakini kesi za disaign hii zina mazonge yake kusheria. Lakini there is a slim chance. Kukaa kwenye nyumba itakuja kama maamuzi ya mwisho (kama itakuwa hivyo)
Ahsante sana mkuu
hapana sina maslahi nayo mimi ni sehemu ya wachangiaji tu kama wachangiaji wengineKama hii kesi una maslahi nayo nakushuri utafute ushauri wa rasmi wa kisheria ili muweze kufanya informed decision
Tujifunze kitu hapa,kuzaa na mpangaji kunaweza kuleta shida siku za usoniAutomatically huyo anakuwa mke wako hivyo itatumika division of matrimonial properties kutoka kwenye sheria za ndoa.
Kama unaujua huo ushauri rasmi ni vyema ukauweka hapahapa kwa faida ya wale wanaochepuka na wapangaji waoKama hii kesi una maslahi nayo nakushuri utafute ushauri wa rasmi wa kisheria ili muweze kufanya informed decision
Mama yao je?Sasa watoto si wa marehemu wana haki ya urithi pia.
Case inakuwa analysed on kujengwa on Case by Case basis na sio one size fit all. Maelezo yake yako juu na kuna gaps nyingi. Huwezi kujenga kasi kwa maelezo ya jumla jumlaKama unaujua huo ushauri rasmi ni vyema ukauweka hapahapa kwa faida ya wale wanaochepuka na wapangaji wao
Mama yao je?
Anayo haki ya kuendelea kuishi pale kwenye nyumba ya marehemu mzazi mwenzake?
Sasa watoto si wa marehemu wana haki ya urithi pia.