Je, mpangaji huyu ana haki yoyote?

Bandu Ncheche

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
512
324
Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure.

Je, ikitokea mzalishaji umefariki, mzalishwaji ana haki ya kuendelea kuishi kwenye ile nyumba bila kulipa pango kwa kuwa alizaa na marehemu mwenye nyumba?
 
Tambua Ukisha Mzalisha Tayari Anakuwa Mzazi Mwenzako, Hivyo Suala La Yeye Kuishi Hapo Baada Ya Wewe Kufa Halikwepeki Kwasababu Atakuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Marehemu Mume Wake Au Baba Wa Mtoto wake.
 
Mwanaume hawi mume wa mtu kisa amezaa nae.
 
Hilo lako wazi. Japo nalo lina ka mlolongo wa kudhibitidha partenity. Ikidhibitisha anaweza kupata sehemu fulani lakini kesi za disaign hii zina mazonge yake kusheria. Lakini there is a slim chance. Kukaa kwenye nyumba itakuja kama maamuzi ya mwisho (kama itakuwa hivyo)
Vipi Kuhusu Kuwa Mzazi Mwenzie Nalo Haliwezekani?
 
Hilo lako wazi. Japo nalo lina ka mlolongo wa kudhibitidha partenity. Ikidhibitisha anaweza kupata sehemu fulani lakini kesi za disaign hii zina mazonge yake kusheria. Lakini there is a slim chance. Kukaa kwenye nyumba itakuja kama maamuzi ya mwisho (kama itakuwa hivyo)
Ahsante sana mkuu
 
Kama hii kesi una maslahi nayo nakushuri utafute ushauri wa rasmi wa kisheria ili muweze kufanya informed decision
hapana sina maslahi nayo mimi ni sehemu ya wachangiaji tu kama wachangiaji wengine
 
Automatically huyo anakuwa mke wako hivyo itatumika division of matrimonial properties kutoka kwenye sheria za ndoa.
 
Kama hii kesi una maslahi nayo nakushuri utafute ushauri wa rasmi wa kisheria ili muweze kufanya informed decision
Kama unaujua huo ushauri rasmi ni vyema ukauweka hapahapa kwa faida ya wale wanaochepuka na wapangaji wao
 
Case inakuwa analysed on kujengwa on Case by Case basis na sio one size fit all. Maelezo yake yako juu na kuna gaps nyingi. Huwezi kujenga kasi kwa maelezo ya jumla jumla
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom