Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 948
- 1,092
LimejaaLipo Arusha mkuu?
Ni nzurihii ni Kashwagala.....leo ndo nimejua ni tiba ya kisukari...home tunaitumia kama dawa ya tumbo na kiungo cha chai.
Ni kweli brother ukisemacho.Kuna siku niliwahi kuwaza kama wewe, na ni kweli sio kila sukari iliyoko sokoni ni ya miwa, kuna aina nyingi tuu ambazo nadhani uzalishaji wake ni rahisi kuliko wa miwa lkn cjui nn tatizo.
Halafu uzuri wa Stevia haina calories, hivyo kila mtu anaweza tumia bila woga
Kuna siku niliwahi kuwaza kama wewe, na ni kweli sio kila sukari iliyoko sokoni ni ya miwa, kuna aina nyingi tuu ambazo nadhani uzalishaji wake ni rahisi kuliko wa miwa lkn cjui nn tatizo.
Halafu uzuri wa Stevia haina calories, hivyo kila mtu anaweza tumia bila woga
Funguka ni tiba ya sukari au ni mbadala wa Sukari?Habari Tanzania!
Kwa wapenda maendeleo, afya na uchumi huu mmea wa "stevia" waweza kuwa mkombozi kwa taifa.
Wataalamu wa afya, tiba, utafiti na kilimo naomba kuliweka kwenu hili faili la mmea wa "STEVIA" maana wananchi wamechoka na magonjwa ya kisukari, bei ya sukari kuwa aghali sana nk
Cc: Mikoa ya Arusha, Mbeya, Kagera na Morogoro.
Karibu.View attachment 1498419View attachment 1498420
View attachment 1498421
Yote ni majibu.Funguka ni tiba ya sukari au ni mbadala wa Sukari?
Utamu wake ni zaidi ya mara 200 mpaka 300 wa sukari miwa.Huo mmea una radha ya utamu Kama sukari?
Utamu wake ni zaidi ya mara 200 mpaka 300 wa sukari miwa.
Ni nzuri kwa afya ya mwili.
Pamoja na kupitapita sehemu kadhaa sijawahi kuuona Arusha !.Lipo Arusha mkuu?
Mzee Baba hii ndio fursa kibiashara unaweza wekeza kabisa. Kuna namna ukiichakata inakuwa mfanano na sukari nyeupe.Vizuri Kama Ni tamu sasa hamna cha kilombero Wala mtibwa... Kama mbadala kapatikana sukari itashuka Hadi Tsh 1000 kwa kilo...
Haahaa tafuta huo mmea upande nyumbani kama bustani au weka kwenye makopo uache ununuzi wa sukari kiwanda.Ndio nasikiaa..