naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
![]()
JE MKOANI KWENU ZIPO NA ZINAITWAJE?
Laah umenikumbusha mkuu 1979 nilikula hizi kama kisado kizima nilipozidiwa nikalala wakanipeleka hosp. Dr. Kashika tumbo kanipa maji baada ya kunywa zambarau zote zikatoka sink la hosp. limejaa zambarau nashukuru sikupelekwa na baba ningezabwa vibao mbele ya Dr. sikupewa dawa tena wakaambiwa "mrufisheni nyumbani" yaani hapo siongei nimetahayari kila mmoja anasema lake ubishi nimeweka kando nimenyaza kimywa