Je mkoani kwenu zipo na zinaitwaje?

Je mkoani kwenu zipo na zinaitwaje?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,074
Reaction score
34,844
10801917_323621261179924_8882014157530756666_n.jpg


JE MKOANI KWENU ZIPO NA ZINAITWAJE?
 
Nilikwea sana miti kuzitafuna

Enzi nikiwa shule nakumbuka tukitoka jioni karibu na shule kulikuwa na miti ya mizambarao mingi kwenye shamba la mtu basi ilikuwa nyasi zake za kulisha ngombe ikifika msimu huo zinakauka mpaka jamaa akawa.anatufungulia madog kweli zamani raha sana.
 
Acha zarau hauwezi kunikumbusha kwa picha tu. nitumie harakasana kabra sijakuroga. hahahahaaaaaa nataniatu mjomba, nikipata nauri kijijini nitazifuata ieeeee mjomba ie.
 
Zuda aka Malalanje!Usiombe kupanda mti wake baada tu ya mvua.Tutakuona umefungwa "hogo" mkononi.
 
Back
Top Bottom