Je mitumba wapi bei rahisi- dar, kenya, zbar au kwingineko

Je mitumba wapi bei rahisi- dar, kenya, zbar au kwingineko

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
Ndugu wana jamvi, naomba ushauri wenu kuna mtu wangu wa karibu anauliza ni wapi anaweza kupata mitumba ya kujukua mingi kwa bei ya jumla(kujumua). amesikia kuwa henda ikawa kenya, mara zbar, mara kampala. naomba msaada mwenye taaria kamili na pia kama kuna mwenye mawasiliano ya wauzaji. natanguliza shukrani. mawasiliano ni 0763 894508
 
Back
Top Bottom