Je, mimi ndio mzembe au binti ndio kazingua?

Kuna pisi fulani ya kipare ilinikubali sana na mimi nilimwelewa. Tulishapiga sana romance, nimemtoa out mara kadhaa.

Siku moja usiku wa saa sita baada ya romance demu akataka game mimi nikakataa kwa sababu muda ulikuwa umeenda nikamwambia tugegedane siku nyingine. Alikubali ila kinyonge sana.

Baadaye alinilaumu ila mimi nikachukulia poa. Baada ya kulalamika siku moja nikamwambia niko tayari akakataa. Nilimtumia meseji hakujibu nilimpigia simu hapokei. Na kwa kuwa mimi huwa sipendi sana kubembeleza tumemwagana, hatuna mawasiliano ila tukikutana zimebaki salamu tu. Ila kikweli bado namtamani hata leo akisema ananipa game sikatai.

Inaniuma sana mpaka tunaachana sikuwahi kula mbususu yake.

Je, mimi ndiye mzembe au demu ndio kazingua? Ushauri wenu tafadhali
Huo usiku wa sa sita mlikuwa wapi
 
Eti muda umeenda khaaaa!

Huo muda ulioenda ni muda gani?

Wewe sio mzembe, sitaki kutumia jina linalokustahili ntapigwa ban
Tulikuwa tumetoka kula bata Juliana Pub Mbezi Beach after romance demu nyege zikampanda alitaka twende tukalale lodge hadi kesho asubuhi.

Pesa nilikuwa nayo ya lodge ila sasa nafsi ilisita kwa kuwa kesho ilikuwa Jumapili na nilikuwa nahitajika kanisani asubuhi sana kuna kazi tulipewa.

Kukumbuka hilo nafsi ikasita kwenda kugegedana. Lakini pia ningechelewa maana pisi ni ya maeneo ninakofanyia kazi Mbezi Beach na mimi naishi Mbezi ya Kimara
 
Aisee upele humuota asiye na kucha, hivi mwanaume rijali unaletaje maringo kwenye kuchakata mbususu?
#Mkuu tena ungekuwa jirani na mimi ningekutukana sana
Hapana kiongozi kuna mazingira ambayo nimeyaeleza kwa mmoja ambaye ameuliza swali kama lako fuatilia replies zangu kwenye hii thread utaona.
 
Labda jamaa bado anaishi kwa wazazi bila hivyo sio rahisi kukataa game ya mchumba unaemkubali!!!!
Tulikuwa tumetoka kula bata Juliana Pub Mbezi Beach after romance demu nyege zikampanda alitaka twende tukalale lodge hadi kesho asubuhi.

Pesa nilikuwa nayo ya lodge ila sasa nafsi ilisita kwa kuwa kesho ilikuwa Jumapili na nilikuwa nahitajika kanisani asubuhi sana kuna kazi tulipewa.

Kukumbuka hilo nafsi ikasita kwenda kugegedana. Lakini pia ningechelewa maana pisi ni ya maeneo ninakofanyia kazi Mbezi Beach na mimi naishi Mbezi ya Kimara
 
Tulikuwa tumetoka kula bata Juliana Pub Mbezi Beach after romance demu nyege zikampanda alitaka twende tukalale lodge hadi kesho asubuhi.

Pesa nilikuwa nayo ya lodge ila sasa nafsi ilisita kwa kuwa kesho ilikuwa Jumapili na nilikuwa nahitajika kanisani asubuhi sana kuna kazi tulipewa.

Kukumbuka hilo nafsi ikasita kwenda kugegedana. Lakini pia ningechelewa maana pisi ni ya maeneo ninakofanyia kazi Mbezi Beach na mimi naishi Mbezi ya Kimara
It was you're sense of humor kukata hiyo game man & there's nothing to be ashamed of big man' endelea na maisha yako ila iwapo kweli unaitaka hiyo pisi ukagegede nayo kua mvumilivu na mtoe out another day wala hatosumbua ni matter of time tu' Be Patient.
 
Asante kwa kunielewa, ushauri ulionipa nitaufanyia kazi. Umeongea kitu chenye sense indeed
 
Jamaa kazingua ila nafasi anayo atume tu pesa
Asante kwa ushauri mpaka sasa nimeona kuna ushauri wa aina tatu
(1)Kuna wanaosema nimnunulie zawadi
(2)Wengine nimtumie pesa
(3)Wengine wanasema nimtoe tena out siku nyingine

Asanteni kwa ushauri wenu wote. 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom