Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 585
- 919
Swali zuriUna umri gan mzee baba?
Una umri gan mzee baba?
Umeelewa nlichokuuliza?Mkuu hii ni first experience kwangu
Okwy, ila hatapiki.. Morning sickness mara chacheMkeo ana raha wiki 7 tu anakula hatapiki?? Zile morning sickness zishafunga mana hapo ni miezi miwili na wiki moja? Kama anakula mwache ale muhim ale chakula bora na sio kujilia tu
wiki tisa ndio miezi miwili na siku moja nilijichanganya kwenye hesabu hapo juu by the way kama hatapiki muache ale ila ale balanced diet maji kwa sana na mboga za majani zipewe kipaumbele kwa afya ya kiumbe kilichopo tumboniOkwy, ila hatapiki.. Morning sickness mara chache
Hadi nimemuonea wivu mke wa mleta mada...mimi nikila hazipiti dakika ishirini kinarudi chote, si maji, si chakula.Mkeo ana raha wiki 7 tu anakula hatapiki?? Zile morning sickness zishafunga mana hapo ni miezi miwili na wiki moja? Kama anakula mwache ale muhim ale chakula bora na sio kujilia tu
nimerekebisha kwenye comment nyingine mkuu s ndio hapo mi mpaka miezi mitano sjakata kutapika hiyo miezi mitatu ya mwanzo ilikua shughuli hakuna kitu nakula zaidi ya chai na mkate tu ndio vinakaa yan had nimetaman ingekua ndio mieHadi nimemuonea wivu mke wa mleta mada...mimi nikila hazipiti dakika ishirini kinarudi chote, si maji, si chakula.
Point of correction: wiki 7 ni mwezi na week tatu.
Bila kusahau matundawiki tisa ndio miezi miwili na siku moja nilijichanganya kwenye hesabu hapo juu by the way kama hatapiki muache ale ila ale balanced diet maji kwa sana na mboga za majani zipewe kipaumbele kwa afya ya kiumbe kilichopo tumboni
asante kwa nyongezaBila kusahau matunda