Je, Mh. Rais katususia nchi?

Je, Mh. Rais katususia nchi?

Domo Kaya

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2007
Posts
531
Reaction score
60
Mimi nina swali kwa Mh. Raisi, hivi kaamua kutususia Nchi au, maana kuna matatizo lukuki hapa Nchini yanaendelea na yeye yupo kimya, mfano ni Mfumuko wa bei, wanafunzi kufeli kuliko kawaida, vurugu za kidini, bunge kugeuka kijiwe na mengineyo mengi tu, Mh. Raisi ndio kiongozi wa Nchi ameamua kukaa kimya, kwa sasa ni kama Nchi inajiendesha/inajiongoza yenyewe hakuna kiongozi.
 
we! raisi anachukua chake mapema we huoni muda wake upo ukingoni.
 
ye ansubiri kutoa taarifa yake ya mwezi tu halafu anaishia zake ughaibuni kula maraha
 
Labda anasubiri mwisho wa mwezi kama mshahara.

haswaaaaaaaaaaaaaa kama tulikuwa tunawaza pamoja yeye anafikiri kutusomea mambo yalivyo ndio sifa ya kiongozi. sifa ya kiongozi ni kutenda kutoa maamuzi juu ya mambo magumu na sifa nyinigne nyingi.
 
Mimi nina swali kwa Mh. Raisi, hivi kaamua kutususia Nchi au, maana kuna matatizo lukuki hapa Nchini yanaendelea na yeye yupo kimya, mfano ni Mfumuko wa bei, wanafunzi kufeli kuliko kawaida, vurugu za kidini, bunge kugeuka kijiwe na mengineyo mengi tu, Mh. Raisi ndio kiongozi wa Nchi ameamua kukaa kimya, kwa sasa ni kama Nchi inajiendesha/inajiongoza yenyewe hakuna kiongozi.

Usijali MKUU, Salma yupo.
 
alitafuta urais ili asafiri si kutatua matatizo,infact hajui how to solve
 
Serikali yake ni sikivu, atakuja kutoa majibu hapa jamvini soon.
 
Sijawahi kuona kiongozi asiyejali raia wake kama huyu.Nchi imemshinda.Na kuna mijitu bado inaipenda hiyo chama mbofu mwe
 
Mimi nina swali kwa Mh. Raisi, hivi kaamua kutususia Nchi au, maana kuna matatizo lukuki hapa Nchini yanaendelea na yeye yupo kimya, mfano ni Mfumuko wa bei, wanafunzi kufeli kuliko kawaida, vurugu za kidini, bunge kugeuka kijiwe na mengineyo mengi tu, Mh. Raisi ndio kiongozi wa Nchi ameamua kukaa kimya, kwa sasa ni kama Nchi inajiendesha/inajiongoza yenyewe hakuna kiongozi.

Itakuwa ni matumizi mabaya ya muda kama Rais ataanza kuongelea masuala ambayo nidhahiri yanafanywa na baadhi ya watu wachache kwa lengo la kuivuruga nchi, labda tumlaumu kwa kuchelewa kuwachukulia hatua. Maandamano ya wanasiasa, vurugu za kidini, kelele za wabunge za kujitafutia umaarufu si mambo ya kuongelea Rais zaidi ya kuwahukulia hatua wote wenye kuleta chokochoko .
 
Anatafakali, mambo ni mengi yamemchanganya, hajamaliza ya mauaji ya gas mtwara haya pastor geita kuundiwa tume hajamaliza oh padri kuundia tume na kualika FBI na hapo hapo waliozungusha round about 2012 results.mh atapata heart attack huyu presi wetu!
 
haswaaaaaaaaaaaaaa kama tulikuwa tunawaza pamoja yeye anafikiri kutusomea mambo yalivyo ndio sifa ya kiongozi. sifa ya kiongozi ni kutenda kutoa maamuzi juu ya mambo magumu na sifa nyinigne nyingi.

SLAA kisha kuahidi na wewe nini? atawamaliza huyu mzee wa watu.
 
Anatafakali, mambo ni mengi yamemchanganya, hajamaliza ya mauaji ya gas mtwara haya pastor geita kuundiwa tume hajamaliza oh padri kuundia tume na kualika FBI na hapo hapo waliozungusha round about 2012 results.mh atapata heart attack huyu presi wetu!

Bahati president wetu hakurupuki kwa vile mengi ni hila za wanasiasa, na zaidi wananchi walio wengi wanalitambua hilo.
 
Rais ambae hawezi kufanya maamuzi.Anasubiri hadi upepo upoe na jambo liishe lenyewe!Kweli Rahisi tunae!ameharibu ile taasisi imekuwa kama NGO ambayo hata waliomaliza form 4 juzi wanaweza kuwa Rais!
 
Back
Top Bottom