Je Mh. Halima Mdee ameshaolewa?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
17,332
21,428
Amani iwe kwenu waungwana

Ndugu zanguni swali langu kama bandiko linavyojieleza ni kuhusu dada yetu,kipenzi chetu mbunge machachari mh halima mdee mbunge wa kawe

Je ana mume kama hana mume kuna mtu hapa anataka kukamilisha taratibu zote ili achukue jiko kama makubaliano yatapita maana bwana huyo anasema amevutiwa na halima muda mrefu na amesubiri kusikia kama kuna mtu atajitokeza hata wa udhushi kujitangaza ndie mmiliki wa halima

au yeye halima kutangaza lakini haijatokea,sasa yeye amesema yupo tayari kumuoa halima na kumuondolea upweke na matatizo ya kibaolojia yanayosababishwa na upweke,hivyo ni ombi letu kila mwenye kufahamu atufahamishe kama mjuavyo ndoa ni jambo la kheri na heshima,

Aksanteni mjumbe hauwawi!
 
Kwani uongo? Ushahidi upo wazi kabisa mpaka sasa ana miaka zaidi ya 40 hajapata hata wa kusuuza rungu
Mwacheni binti yangu na maisha yake.
Kama unampenda kweli fanya bidii ya kumtafuta.
Na wewe uwe na vigezo vinavyo kubalika.
Acheni ushakubimbi!!
 
Ungetusaidia sana ss wanafamilia maana anasema haambiwi jambo. Ila kama uko tayari nitakuunganisha na wazazi wake uzuri kwao ni bunju sio same. Na mahari ni mkopo.
Safi kama familia ipo tayari basi tupo njiani!
 
Back
Top Bottom