Halima Mdee, Mkataba Bandari uliupinga Bungeni wakakushinda je, nje hapo Una namna yoyote kuliokoa taifa?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Halima Mdee Mbunge pekee uliyesuguana na Tulia Akson dhidi ya mkataba wa Kuuzwa/kukodishwa Kwa Bandari kila mwenye macho aliona.

Mwenye masikio pia aliskia jinsi mlivyonyukana aswaa! Najiuliza Tulia Akson baada ya msuguano uo na kukushinda nguvu Kwa kukupiga TO. Pale Bungeni bado Tulian Akson yupo nje ya Bunge anaendelea kutetea uzwaji wa bandari zetu.

Je wewe kama Mbunge ulilidhika kupigwa TO na spika pale Bungeni ni kuwa umeridhia yanayoendelea au unakosa jukwaa la kumshambulia Tulia Akson na genge lake?

Nina Imani roho inakuuma Kwa TO ya Bungeni na TO mtaani tafuta jukwaa mzipige kavu wewe na TUlia Nina hakika utamchapa TO.
 
Atumie jukwaa lipi wakati yumo bila kujalisha aliingiaje!!

Atumie jukwaa lipi asotambulika?
 
Back
Top Bottom